Thanks Lunyungu... unajua nini walio wengi huenda walichukuliwa kule vingunguti na Kipawa kisha kupewa Shs na nguo za kijani ilikuonyesha mapokezi ya kishindo......ukiwaambia hao hata Idd Amin aliishawahi kuwa mwenyekiti wa OAU hawawezi kuelewa ...kazi kweli kweli
kikwete wa AU sio OAU watakucheka watu
Mwache abebe majukumu zaidi hata ulimwengu umjue alivyo msanii.CCM ni wagonjwa wa akili, kila mahali wao shuguli zote ni za chama tu..kijani na njano ndo rangi zao ya laana.
Yaliyofanyika Kenya ndio yafanyikayo hapa bongo kwa hiyo hana jipya zaidi ya kuyaona ya kawaida tu.
Ndio mkuu, hata Idd Amini aliwahi kuwa rais wa OAU! duh..
Thanks Lunyungu... unajua nini walio wengi huenda walichukuliwa kule vingunguti na Kipawa kisha kupewa Shs 2000 na nguo za kijani ilikuonyesha mapokezi ya kishindo......ukiwaambia hao hata Idd Amin aliishawahi kuwa mwenyekiti wa OAU hawawezi kuelewa ...kazi kweli kweli
Ushi wa rombo umenikumbusha mbali sana. Kwa kweli niliiona OAU kama ni kichekesho kikubwa walipoamua kumpa Nduli umwenyekiti wa umoja huo. Huyu naye wa kwetu ya ndani ya Tanzania yanamshinda huku atajikanyagakanyaga tu na hatimaye uwezo wake finyu kujulikana Afrika nzima na Ulimwengu pia.
Ushirombo..acha dharau zako juu ya maeneo ya wanaokaa watu...ushawaona watu wa kipawa na Vingunguti wajinga sanaa na ww unaekaa masaki? kula kulala?Wale wake na watoto wa vigogo waliokuja airport nao wanakaa Kipawa na Vingunguti...
Lunyugu nae amesema kaenda na kaonesha anakaa wapi? Hizo Dharau ziache....kaa na ufikirie...
Ushirombo..acha dharau zako juu ya maeneo ya wanaokaa watu...ushawaona watu wa kipawa na Vingunguti wajinga sanaa na ww unaekaa masaki? kula kulala?Wale wake na watoto wa vigogo waliokuja airport nao wanakaa Kipawa na Vingunguti...
...JK, wewe weka shida chini na endelea ku-banjuka tuu, damu za watu hazipotei bure.
Sidhani kama alipokelewa na wanaccm bali watanzania ambao wamefurahishwa na heshima tuliopewa ya rais wetu kuwa mwenyekiti wa AU.JK nikama nabii ambaye wachache wenye akili ya mgando wanawaza kwa nini amepewa uchair lakini wenzetu wanatambua ubora wake.