JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

Yaani unauliza fisadi Diallo kakosa nini haujui vyombo vyake vya habari vinavyyooichafua CCM na kuipambaCDM mwanza...kwanza nae hana jipya huyo mafisadi alipokuwa waziri alituibia sn pale wizarani
O K sasa nimeanza kufuta yale niliyo kuwa nayaamini kuwa kushindwa kwake ulisababishwa na nguu kubwa ya CHADEMA kumbe hata ule mpango wa kutenganisha biashara na siasa ulenga hata yeye
 
avatar9763_4.gif




4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg

3_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bwa%2BCCM%2Bna%2Bvijana%2Bwa%2BChama%2Bbaada%2Bya%2Bkuwasili%2Bnje%2Bya%2Bukumbi.jpg



Hii ndiyo CCM na mwenyekiti wake ni burudani tupu, hapo nchi itajengeka kwa mtindo huu?
Huyo Mbunge ndio yule anayejihusisha na Biashara za international Pharmaceutical?
 
najiuliza hivi Diallo kakosa nini mbona wamemtupa nje

halafu hii kauli ya " msipo nichagua/niteua naenda upinzani " mbona nasikia hata yeye aliitumia kumbe alikuwa anatishia tu

Dialo katemwa?? labda kuwakodishia Chadema Star TV kule Arumeru kwenye uchaguzi na Fundraising kumemponza na kuonekana hakisaidii chama kama Bashe na magazeti yake
 
mbona Sitta kaachwa mbali na kuikosoa ccm hadharani, kuanzisha CCJ, Kutaka kuhamia CDM ???
 
Naona Ndugu yangu Bashe ka-serve issue ya Uraia kwa kuondolewa kwenye kinyanganyiro, na Kingwangalla na issue ya Silaha
 
...Ndiyo sababu ya Watanzania kumuita Msanii/DHAIFU

JK watanzania wangekupima kwa vigezo unavyowapima navyo wenzako wewe ungebakia kweli?

Hakuna kiongozi anayeongoza nchi kwa vitisho kama wewe, unakumbuka kauli zako wakati wa mgomo wa wafanyakazi?
 
Huyo dada hapo juu ana Kiherehere, watam-MIMBA sasa hivi.

Atapigwa chini na avimbe juu, wee mwache kama hawajui watu wa Pwani.

 
Last edited by a moderator:
As i expected, ningeshangaa kama Filikunjombe na Mpina wangepitishwa, kwa hili lililotokea na jinsi ccm ilivyo, it is no news!
 
"Inashangaza kuona kugombea NEC tu watu wanataka kuuana, wanakimbilia nini huko ndani?" alihoji Rais Kikwete.

"Ina maana watu hawa wanaonyesha dhahiri kuwa hawana nia njema na chama, bali wanaingia kwa maslahi yao binafsi, hivyo tuna kila sababu ya kuwakataa ili tujenge timu ya ushindi ambayo ndiyo nia yetu," aliongeza mwenyekiti huyo.]

JK, are you serious? Hukumbuki wewe pamoja la kundi lako la wana mtandao mlivyompaka matope SAS wakati wa kuelekea uchaguzi 2005? Wewe ulikuwa unakimbilia nini huko Ikulu?

Hata wewe pia hukuwa na nia nzuri na Taifa letu zaidi ya ubinafsi. Umeonyesha husivyofaa, waachie wananchi wajenge nchi yao ambao wana kila sababu ya kuwakataa CCM ili wajenge timu ya ushindi ambayo ndiyo nia yao.

Nyani always doesn't see his K.U.N.D.U.L.E, anaona la mwenzake pekee.
 
Back
Top Bottom