JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

JK watanzania wangekupima kwa vigezo unavyowapima navyo wenzako wewe ungebakia kweli?

Hakuna kiongozi anayeongoza nchi kwa vitisho kama wewe kumbuka kauli zako wakati wa mgomo wa wafanyakazi!!

Unakumbuka kauli zako wakati wa mgomo wa madaktari?

Kuzushiana mambo hakuna mtu mzushi kama wewe JK, unakumbuka ulivyowazushia wenzako wakina Salim A Salim kuwa ni waarabu na uchafu mwingi uliowatupia wenzako ikiwemo kashfa za kutunga?

Suala la rushwa:
Serikali yako imejaa viongozi wala rushwa watupu ukiwemo wewe mwenyewe, wakati ulipokuwa waziri wa madini uligawa migodi kama njugu na pia ikiwemo suti uliyonunuliwa na yule mwarabu huko London.

Hakuna mtu mzushi na mpenda majungu kama Kikwete,ngoja tuone reaction ya aliowatema,wanajua jamaa ni dhaifu na hafai lazima walipize kisasi
 
kwa hiyo Salma kikwete na Rizone wamepita halafu anawachafua wenzake hawana nia nzuri na chama?huyu magamba ana akili?
 
Hakuna mtu mzushi na mpenda majungu kama Kikwete,ngoja tuone reaction ya aliowatema,wanajua jamaa ni dhaifu na hafai lazima walipize kisasi

Naona mmeamua kujiliwaza mwanzo mlisema CCM wamuogopa Nkono, panga limewapitia mnaleta stori zingine JK ni nouma.
 
Filikunjome take action now! Iam afraid you may be late to catch the last train!!
 
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - NEC kimemalizika hivi punde huko Dodoma, huku wale wabunge wa CCM waliosaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, majina yao yakiwa yamekatwa. wabunge waliokatwa majina yao kwa kosa la kumwadhibisha waziri mkuu ni Mhe. Deo Filikunjombe, ambaye aliomba nafasi ya UNEC wilaya ya Ludewa na mhe. Nimrodi Mkono aliyeomba Unec na Uenyekiti wa Wazazi Taifa.

My take: Mie nilidhani Filikunjombe na Mkono na wabunge wengine waliosaini ile fomu waliisaidia serikali ya CCM, loh kumbe kitendo kile kiliwaudhi wakubwa! ama kweli ccm ina wenyewe, akina Pindi Chana.

Hata madiwani wa chadema mwanza adam chagulani na matata waliondolewa uanachama wa chadema kwa sababu walisaini petition ya kumuondoa meya wa jiji la mwanza.
 
Sitta kapona, labda wamejua kuwa anaweza fanya kweli. Mwasisi wa patachimbika ni mama Anne Kilango Malecela. Kapona. Labda kwasababu mumewe Dr John Samuel Malecela ana distinction ya kumiliki kadi No. 2 ya CCM akifuatiwa na Kadi No. 1 ya J.K. Nyerere.
 
CCM inapotaka kufanya lake haijali kama kuna baba mkwe wala kumuonea mtu aibu.Wacha CDM waendeleze ufamle na kuogopana.
 
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - NEC kimemalizika hivi punde huko Dodoma, huku wale wabunge wa CCM waliosaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, majina yao yakiwa yamekatwa. wabunge waliokatwa majina yao kwa kosa la kumwadhibisha waziri mkuu ni Mhe. Deo Filikunjombe, ambaye aliomba nafasi ya UNEC wilaya ya Ludewa na mhe. Nimrodi Mkono aliyeomba Unec na Uenyekiti wa Wazazi Taifa.

My take: Mie nilidhani Filikunjombe na Mkono na wabunge wengine waliosaini ile fomu waliisaidia serikali ya CCM, loh kumbe kitendo kile kiliwaudhi wakubwa! ama kweli ccm ina wenyewe, akina Pindi Chana.

Zaidi:

Wenye ndimi mbili wote wameambiwa waungane na SHIBUDA, MPENDAZOE
 
CCM inapotaka kufanya lake haijali kama kuna baba mkwe wala kumuonea mtu aibu.Wacha CDM waendeleze ufamle na kuogopana.

Salma na Rizimoko wamepita ?!

Huku mzee wa mipasho analalama mnakimbilia nini NEC ? Yeye na uzao wake wanakimbilia nini ?!
 
Hakuna mtu mzushi na mpenda majungu kama Kikwete,ngoja tuone reaction ya aliowatema,wanajua jamaa ni dhaifu na hafai lazima walipize kisasi

Hakuna mpenda majungu na fitna kama slaa yaani aliwaondoa madiwai arusha kwa kusikiliza majungu na fitna za Lema na juzi juzi tu amewaondoa madiwani wa mwanza kwa kusikiliza majungu na fitna kutoka kwa Wenje yaani mpaka sasa slaa anatumia akili za mchumba wake kwa uendeshaji wa chama.
 
Back
Top Bottom