Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi vyao kuongezea ulinzi huo.....inaonekana wazi kwa namna ya mpangilio pale gharam zimetumika kubwa....
Tayari maandalizi kupitia kwa wajumbe wa ngazi mbali mbali kuhakikisha mkutano wa kesho unahudhuriwa na watu wanafikishwa yamekamilika.....
Hofu ya kikwete kuanguka tena kesho imetanda pale uwanjani...labda kutokana na hali yake kuonekana amekonda sana safari hiii na wazi kuonekana ana msongo wa mawazo ambao ni chanzo kikubwa cha watu wenye sukari kama yeye kuangaka...hii ni iwapo hayajipa muda wa kupumzika usiku wa leo na angalau apate muda wa kulala kidogo mchana kabla ya mkutano..hatutaki fedheha nyingine kesho....
kampeni zinaisha kesho ...CUF wao kama maara ya mwisho walifanya mkutano Jangwani jana ....kesho ccm watakuwa pale na CHADEMA watamalizia kwa SUGU!!!!...leo NCCR wamemaliza...
Mazingira na dalili za JK kuanguka tena kesho ni wazi.....especially kwa tabia yake ya kutumia muda mrefu kuongea porojo atakuwa anaendelea kujichosha ...wanaomtakia mema wamshauri ahutubie amekaa.....pamoja na kuwa ameaza kuwa na vigugumizi na kuruka ruka maneno kama leo kwenye mdahalo...angalau akianguka tusije tukampoteza kwa kuwa atakuwa amekaa a hatagonga kichwa chini!!