Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...
Source: Majira
My Intake
Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........