Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
Of course "umesema" na watu wakubali kwa vile umesema Hakukuwa na facts:
Nilisema nitakusaidia:
FACTS nilizodai:
a. Kichwa cha habarri kinasema JK amteua jaji Kiongozi mpya - that is a fact!
b. Imetajwa kuwa aliyefanya uteuzi huo ni Rais - that is a fact
c. Kwamba aliyeteuliwa ni Jaji Fakihi Jundu - that is a fact (jina nililikosea mimi)
d. Kwamba aliyeteuliwa alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu huko Iringa - that is a fact
e. Kwamba kabla ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu alikuwa Wakili wa kujitegemea - that is a fact
f. Kwamba alikuwa ameteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu "kama mwaka mmoja uliopita" - FACT iliyodaiwa now being disputed at the exact time. Imeshasahihishwa na FACT ya uhakika kuwa amekuwa Jaji wa Mahakama Kuu angalau miaka miwili, na kwa kadiri ninavyokumbuka sasa atakuwa ameteuliwa sometimes late 2005.
Sasa Kuhani kati ya FACTS hizo zote hapo ni zipi za kweli? Of course I know y ou are answer... they are all LIES!
Mkuu mwanaKjj...pamoja na kwamba kipengele a-e utakuwa umepatia, lkn kitendo tu cha "kama mwaka mmoja", kinaharibu the whole story...ndio kimefanya watu wajadili as if aliechaguliwa ni mtu Mgeni ktk Taasisi za Mahakama na kuanza kumshoot JK kwa uteuzi huo.
kwa hiyo unakubaliana kuwa habari yote haikuwa kweli na ya kuwa hakukuwa na facts? Unaposema "kinaharibu" the whole story kwa sababu kimeandikwa hivyo au tafsiri za watu ndiyo zimeenda huko? Sasa imeshaoneshwa kuwa Jundu amekuwa Jaji Mahakama Kuu kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja na ni karibu ya miaka mitano, je habari bado ina ukweli au ukweli wote wa habari unasimama kwenye "kama mwaka mmoja"?
Kwa wale wanaoona kuwa JK kumpa Jundu U-jaji Kiongozi amewaruka wengine si mahala pake. same Mkapa alimchagua Msumi ambae kwa wakati huo alikuwa no.11, Labda Mkapa atusaidie kwanini aliwaruka J-1-10 na kumpa cheo Jaji Msumi...!!!
Kwa wale wanaona JK anafanya UDINI, ni watu hao kukosa shukran na kuipeleka nchi kusiko. Sifikirii list iliyowekwa hapo ya Majaji kama hao watu wanakuwa sawa kwa DINI zao.Pia Mbona JK kamchagua Tido kuwa Mkurugenzi wa TBC akiwa na elimu ndogo, wakati kuna watu lukuki kma Juma Nkamia, Ahmed Jongo na wengineo ambao wazoefu na wanaelimu kumshinda Mkurugenzi.
Mkuu mwanaKjj...pamoja na kwamba kipengele a-e utakuwa umepatia...
Nadhani Jujuman hoja yake ni kuwa si uungwana kumwita mtu 'muongo' kwenye forum hii au popote pengine. Inawezekana wote wawili (MKJJ na Jobo) kile walichokisema sio sahihi kwa ujumla au kwa sehemu tu, lakini sidhani kama hili peke yake linawafanya kuwa 'waongo'. Muongo ni mtu mwenye tabia ya kusema vitu visivyo na ukweli kwa makusudi.
Kama binaadamu ni mara nyingi tunateleza na kujikuta kwa bahati mbaya vile tulivyovisema tukiamini kuwa ni kweli tunakuja kugundua kumbe si vya kweli. Hata hivyo kasoro hii haitufanyi kustahili kuitwa waongo.
Binafsi naamini kumwita mmoja wao muongo kwa kasoro hii iliyojitokeza sio haki na wala si uungwana. JF panapaswa kuwa mahala pa waungwana yaani watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine hata kama mnatofautiana kimtizamo au hoja.
du jamani si imeeleweka sasa!Endeleeni kukata nyanga kwa maslahi ya taifa!sio kwenda personal
Huwezi kuwa na mjadala wala hoja wala mitazamo kabla ya kwanza kuwa na facts!
Hatukuwa na facts, tulipotoshwa!
Mjadala ulihusu uzoefu wa mteule, hoja nyingi zikishutumu uteuzi wa jaji ambae ana "kama mwaka mmoja."
Ilipofahamika kwamba hilo si kweli ikawa kama umeme umezimika ghafla kwenye tafrija ya kumshutumu Rais kwa kuteua jaji mwenye mwaka mmoja. Mziki ukazima ghafla, bia hazitoki, shutuma hazitoki, ubwabwa hautoki.
Siku nyingine tuwe na facts kwanza.
Pati imekwisha turudini nyumbani!
Safi sana Kuhani, kuna watu mabingwa wa 'consipiracy' humu ndani. Zaidi ya yote they know everything. Kana kwamba haitoshi ni wabishi kupindukia. Kwa kuongezea 'ndivyo walivyo'
Ndivyo Tulivyo including wewe...
NN,
Mimi siyo mwafrika
Kuhani,
I'd like to see wale wote wanaosema uongo have to indicted.
NN, Mimi siyo mwafrika
Kama sio Liafrika wewe ni nani sasa?
Kama sio Liafrika wewe ni nani sasa?
Bado mpo.. I'm so done. Mambo mengine ninawaachia muendelee. Next.
Kukusahihisha kidogo Mkuu JokaKuu, Rais aliwateua Jaji Steven James Bwana, Jaji Bernard Michael Luanda, Jaji Mohammed Chande Othman na Jaji Sauda Mjasiri mwezi wa pili 2008 kutoka Mahakama Kuu kuwa majaji wa Mahakama ya Rufaa.