Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,249
- 44,578
- Thread starter
-
- #121
Huwezi kuwa na mjadala wala hoja wala mitazamo kabla ya kwanza kuwa na facts!
Hatukuwa na facts, tulipotoshwa!
Mtu hujifunga kwa maneno yake mwenyewe!
Mkuu baija bolobi, "Acha wazee waende vitani, na watoto shule...". Kama huna hoja kaa kimya. "Bendera fata upepo", ukiona kila kitu cha Mwanakijiji unga mkono, manake wewe hutaki kumfanya "punching bag".
======
Halafu unambishi Mwana Kijiji kuwa haupo kwenye mapambano wakati uko vitani kama unavyosema. Umeambiwa nafasi za uteuzi zimeisha au zinakaribia kwisha?
.
Mkuu, kuna msemo wa kiingereza ndio nimetafsiri kwenda kwa kiswahili "Acha wazee (wakubwa) waende vitani, na watoto shule...". Hii kwa maana ya haraka ni kama waache wakubwa wafanye kazi, na watoto wasome. Sikuwa na maana ya vita, sema hapo vita ina maanisha zile kazi haziwezifanywa na watoto.
Mkuu baija bolobi aliposema tunakufanya "Punching bag", wakati huu ni mjadala. Kwake yeye baija bolobi mjadala ni "Punching bag". Hivyo kwa kuwa hiyo ndio tafsiri yake, nikasema kumwambia, "Bendera fata upepo", ukiona kila kitu cha Mwanakijiji unga mkono, manake wewe hutaki kumfanya "punching bag". Nikimaanisha yeye hawezi kujadiliana nawe kwa kuwa kujadiliana nawe ni UBISHI, na Ubishi huu una undani wake (nimemuuliza huu undani hajajibu).
Sasa kama nawe hilo la kutaja "Punching bag", unalichukua hilo tu kuonesha mimi napambana nawe, tafsiri upendavyo.
Hebu chambua facts zote zilizokuwemo kwenye ile taarifa na unioneshe ni zipi zilikupotosha. Ukishindwa niko tayari kukusaidia kwa urahisi tu.
natafsiri kile nilichokiona tu.. siyo nipendavyo kwa sababu siwezi kusema nimenyeshewa na upepo wakati ni mvua kwa sababu napenda kutafsiri matone ya mvua kuwa ni upepo! Umemshangaa yeye kutojiunga kunifanya niwe punching bag, ukiashiria kuwa wewe unafanya hivyo which is fine with me.
Nimesema hakukuwa na facts, sasa utasemaje nichambue facts zilizokuwemo kwenye taarifa?
Hahaa hahahahahahhaaa
Uliyoyasema yalipotosha.
Hii ni mara ya pili katika wiki hii kwa wewe kuleta taarifa zisizo na ukweli, sijui na taarifa ngapi zisizo na ukweli umewahi kuzileta huko nyuma.
wabongo bwana, eti mkubwa hasemi samahani!
kwamba hakuna Jaji Mpya kiongozi anaitwa Fakihi Jundu aliyeteuliwa na Rais kuchukua nafasi ya Jaji Masati aliyepeleka Mahakama ya Rufani!? na habari ipi nyingine ya isiyo na ukweli? Jiunge tu kwenye mstari..
Kwamba jaji huyo...... 'mwaka mmoja' haikuwa uongo? Kilichobaki ni hii thread kufungwa kwani ume/lireport uongo tena.
Hivi ile thread ya kuzuiliwa kwa Jamiiforums kwenye campus za UDSM ilifungwa?
This is hilarious....hahahaaaaaaa
Mkuu, kuna msemo wa kiingereza ndio nimetafsiri kwenda kwa kiswahili "Acha wazee (wakubwa) waende vitani, na watoto shule...". Hii kwa maana ya haraka ni kama waache wakubwa wafanye kazi, na watoto wasome. Sikuwa na maana ya vita, sema hapo vita ina maanisha zile kazi haziwezifanywa na watoto.
=====
Kama hauko vitani tuletee Jaji Jundu aliteuliwa lini kuwa Jaji wa Mhakama Kuu. Vinginevyo unakemea uropokaji kwa kuropoka mwenyewe.
Kwamba jaji huyo...... 'mwaka mmoja' haikuwa uongo? Kilichobaki ni hii thread kufungwa kwani ume/lireport uongo tena. Sasa basi, siku nyingine ukipewa habari ichunguze, ukiona inayumba mwambie huyo aliyekupa hiyo habari ajiunge JF na kuanzisha thread ili aweze kujibu maswali husika; hapa kujiunga ni bure kama ilivyokuanzisha thread na mengineyo.
Hivi ile thread ya kuzuiliwa kwa Jamiiforums kwenye campus za UDSM ilifungwa?
This is hilarious....hahahaaaaaaa
Haa haaaaaaaaaaaaa
Moderators kumbe hawataki thread zisizo sahihi...hhaahaaaaaaaaaaa!
This is funny.......goodness gracious!
.......NO this is not funny......bana.......the funniest one was Dr Masau's Case na uchunguzi blah blah blah.........