Sijasema Ujaji Mkuu bali alitoka uwakili na kupelekwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
exactly! as far as I know
I would not dare to speculate the motives naamini JK anatimiza wajibu wake wa Kikatiba.
Nadhani nilikuelewa ila swali langu la msingi umeshalijibu,ila issue ni kwamba ndani ya mwaka mmoja uliopita wakati akiwa bado ni wakili wa kujitegema basi alipanda vyeo mara mbili kwa mpigo...Rejea kauli yako kuwa mwaka mmoja uliopita alikuwa wakili na kabla ya kuwa jaji kiongozi(sasa) aliwahi pia kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, all this within a year.
..........Pengine mimi ndio sielewi.......nilivyokuwa naelewa mimi ni kuwa......
Jaji Kiongozi ni Senior kwa J1, na J1 ni Senior kwa J2, na J2 ni Senior kwa J3, na kuendelea...........
Kwa hiyo lets say miaka miwiwli iliyopita huyu Fakihi alipoteuliwa mara ya kwanza alikuwa zaidi ya J15.........sasa Kateuliwa kuwa Jaji Kiongozi....i.e. JK.......ina maana kawaruka senior Judges wa Kanda nk!!!.......nilivyokuwa naelewa pia nin kuwa Judge Incharge wa Kanda/Kitengo e.g Biashara.........pia anaweza kuteuliwa kuingia Mahakama ya Rufaa
Vivyo hivyo kwa Mahakama ya Rufaa
Jaji Mkuu i.e. JM......chini yake wanafuatia JR1, JR2, JR3 na kuendelea
anyway uelewa wangu inaweza kuwa nilikuwa nje kabisa.........! naomba kuelimishwa.........
Mkuu nimekugusa nini? why are you taking it personal?
Wana mtandao,
Wenzetu wa Ulaya wana kitu wanaita "The European Court of Human Rights" iliyopo Strasburg. Sasa kama kwenu hawa viongozi walioteuliwa na Rais wanakunyanyasa, basi ukifika hapo ni KIBOKO. Wengi hushindwa kesi kwao na ukifika hapa unashinda na kupata mahela. Labda ingelifanyika pia mahakama ya haki za binadamu ya East Africa.
Hii taarifa ina makosa...naweza kusahihishwa
Unadai taarifa ina makosa halafu hapo hapo unaomba kusahihishwa!
Yani na wewe hujui, au?
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...
..........Pengine mimi ndio sielewi.......nilivyokuwa naelewa mimi ni kuwa......
Jaji Kiongozi ni Senior kwa J1, na J1 ni Senior kwa J2, na J2 ni Senior kwa J3, na kuendelea...........
Kwa hiyo lets say miaka miwiwli iliyopita huyu Fakihi alipoteuliwa mara ya kwanza alikuwa zaidi ya J15.........sasa Kateuliwa kuwa Jaji Kiongozi....i.e. JK.......ina maana kawaruka senior Judges wa Kanda nk!!!.......nilivyokuwa naelewa pia nin kuwa Judge Incharge wa Kanda/Kitengo e.g Biashara.........pia anaweza kuteuliwa kuingia Mahakama ya Rufaa
Vivyo hivyo kwa Mahakama ya Rufaa
Jaji Mkuu i.e. JM......chini yake wanafuatia JR1, JR2, JR3 na kuendelea
anyway uelewa wangu inaweza kuwa nilikuwa nje kabisa.........! naomba kuelimishwa.........
Nilijua tu kuwa kuna wadau watauliza kuhusu suala la dinii jamani acheni hayo...tuangalie uwezo na utendaji kazi wake acheni mambo ya dini maana haitusaidii lolote....
sasa kama jk kateua junior judge kuwa JK NA KUWARUKA wengine ....si busara ya kawaida!!!....kuna majaji wamejaa kwenye J miaka 15 hadi kufikia j1 to j 10....HUWEZI KUMPANDISHA MTU ALIYEKAA J ...MIAKA HATA 2 HAIZIDI!!
utaratibu wa majaji hautofautiani na jeshini..pamoja na kuwa rais anaweza kumteua rank kuwanzia brigedia jenerali hadi luteni generali kuwa mkuu wa majeshi.....rais mwenye busara hawezi kumrusha brigedia jenerali kuwa CDF na kuwaruka LUTENI GENERAL NA major general......washauri wake wa usalama hawawezi kumuacha akafanya hivo ...kwani hawa wanaorukwa hubaki na fundo rohoni hata kama hwasemi...na hiyo haitakiwi...ina maaana umeonesha huwaamini hadi unaruka ranks ,,,na seniority ambayo kwenye any despline org including jeshi na mahakama ni muhimu sana!
Nadhani umri wa potential candidates pia unaweza kuinfluence decision ya Rais. Kwa mfano, kama mtu amebakiza mwaka mmoja kustaafu nadhani Rais anaweza kusita kumpa baadhi ya nyadhifa (for the sake of convenience!).
ina maana anamnyima haki yake au kile anachostahili kwa sababu ya umri wake? Kwanini basi asimuombe astaafu tu kuliko kumuacha aone jinsi anavyorukwa!?
Mheshimiwa Ogah unavyofikiria ndio sahihi....Hata hawa Majaji wa Mahakama kuu wanapishana kutokana na seniority zao....wote mnaweza kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa lakini seniority ndio inamtambulisha nani Mkuu kuliko mwenzie.Masuala ya nani kuteuliwa nani huo ni Utashi binafsi wa anayefanya Uteuzi,lakini mara nyingi seniority ina nafasi yake katika kufanya Uteuzi,hiyo inaondoa manung'uniko na kuchochea ufanisi!!!