Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Mimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao
Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
Doing exactly what you are good at...........matusi .Magamba memekuwa active kama viwavi jeshi.Ndivyo babu yenu msekwa amewapa vi min lap na vimodem ndo mnaongea kama kasuku.Ok pambavuuu!
Wee ndiyo chundu kwelikweli,, unadhani kila mtu yupo kimalipo hapa kama wewe? katafute kazi nyengine ***** wewemaji mshindo uko kazin unalipwa sh?
Kaaya , mneki na mkuu wa Aicc ndiye alikuwa houseboy wa hao madogo.
Mkuu namchukia Kikwete na CCM kwa ujumla lakini kwa hili sitakuunga mkono kwasababu umesema uongo, watoto wa JK mmoja alisoma mpaka akamaliza la saba na pale hakuna secondary ya wasichana hivyo asingeweza kusoma sekondari pale na wavulana si lazima ukisoma msingi Trust St Patrick lazima na Sekondari usome hapo na baada ya kumaliza la saba hapo Trust St Patrick alipelekwa Kifungiro Girls iliyoko Lushoto Tanga...Mtoto wa kiume alihamishwa miaka ya 2007 na si 2010 ulivyo sema na kulikuwa na sababu ya msingi ya kuhamishwa pale kwani nilishawahi kutaka kujua sababu ya kuhamishwa Trust St Patrick na Kupelekwa nje......Tufanye utafiti kabla ya kuleta mada vinginevyo tunaishusha JF...Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ
Mimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Mkuu namchukia Kikwete na CCM kwa ujumla lakini kwa hili sitakuunga mkono kwasababu umesema uongo, watoto wa JK mmoja alisoma mpaka akamaliza la saba na pale hakuna secondary ya wasichana hivyo asingeweza kusoma sekondari pale na wavulana si lazima ukisoma msingi Trust St Patrick lazima na Sekondari usome hapo na baada ya kumaliza la saba hapo Trust St Patrick alipelekwa Kifungiro Girls iliyoko Lushoto Tanga...Mtoto wa kiume alihamishwa miaka ya 2007 na si 2010 ulivyo sema na kulikuwa na sababu ya msingi ya kuhamishwa pale kwani nilishawahi kutaka kujua sababu ya kuhamishwa Trust St Patrick na Kupelekwa nje......Tufanye utafiti kabla ya kuleta mada vinginevyo tunaishusha JF...
Wewe nawe! sijakuona unajadili lolote humu ndani zaidi ya kudhurura kila thread kutetea kila jambo. Ndio ajira yako nini? ukikuta watu wakiwa barazani wanajadiliana hata kama mengine hayana tija we pita zako sio kila kitu kikuume na ujibishane nao. Au employer katoa sharti kuwa ikipita thread ya kuwasema usipojibu, no posho?Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
Mimi mwenyewe ningemwona mtoto wako ningempiga kisu cha maini afilie mbani kizazi haramu hicho hatukitaki huku kwa machalii
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ