JK ahaha kupandikiza kibaraka wake TUCTA

Mungu apishe mbali hadaa hii kama ni kweli. Wafanyakazi mpo? Msikubali kuwekewa kibaraka mtajuta kwa kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
Hakika! Mimi si mfanyakazi wala mwanachama wa chama cha wafanyakazi, ila dalili zaonyesha mamluki anataka kupenyezwa shtukeni basi. Mgaya anaweza,anafaa.
 
Sahihisho mkuu, 2002 - 2006 kwa Msekwa na Sitta kusema walikuwa UDSM naona kama ni typing error vile. Weka vizuri hapo.
acha uvivu wa kufikiri kijana! aliyekuwa udsm 2002-2006 ni mnyeti, lakini pia akiwa mwaka wa tatu alichukua fomu kuwania uspika wa bunge la jamhuri, akichuana na akina sitta na msekwa! umeelewa sasa?
 
Inlfuence aliyonayo Mgaya ni kubwa sana kwa watanzania JK anacheza tu na huyo mkimbiza koroboi wake, Wabongo sshiv akili zinafanya kazi sijui atumie profile gani huyo bwana! Wampe waone kila JK akisema hapingwi
 
Back
Top Bottom