hapo ni message delivered kwa media zenye malengo ya kuvuruga mambo.watakula ban kuja kufunguliwa 2017.Pia amesema haya nanukuu, 'kwamba habari za kuchochea majeshi kufanya mapinduzi, habari za kuchochea vijana kuleta vurugu hatazivumilia, na kwamba chombo cha habari kitakachojielekeza kwenye habari za namna hiyo kitafungiwa.
Wakiandika Rais Kikwete nchi imemshinda hainipi tabu, kwa kuwa najua nchi haijanishinda, alisema Rais Kikwete huku akitoa mfano wa namna redio Mille Collines ya Rwanda ilivyochangia mauaji ya halaiki nchini humo.
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk
kwani Mkapa hakufanya ya Mwinyi???He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk
Ili kukomesha ubishi hapa ni vizuri tuziweke barabara zilizotengenezwa na Kikwete na Mkapa na off course twende mbele zaidi, kitu gani pipya kilichowekwa na Kikwete ambacho hakikuwepo enzi za Mkapa, master plan iwe ni ya Kikwete tu, mwenye ushahidi uwekwe hapa badala ya kuongea kijumla jumla!
Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:
"The Tanzanians will decide but I consider ky term of office as a time of scalling up.We have scaled up on roads,on construction,on education,on health,and many other things. It is Tanzanian to judge but my biggest satisfaction is that we have done a tremendous job in the road infrastructure,expansion of primary and secondary education.
We had only 40000 students in universitu,now we have 180000,which is phenomena,we had 525,000 secondary school now we have 1.9 million.The important thing I want Tanzanians to appreciate is that I have made conttibution.I found them.somewhere and I leave them somewhere better than they were before when I took office".
Eeeh labda kwa miundo mbini! Lakini baba la miundo mbinu ni Mkapa! Hakuna mwingine, huyu ndo alitukuta choka mbaya na akatufikisha mahali. Siyo huyu anayetuachia deni la matrilion ya shilingi. ZOMBIE AT WORK!!
waböngo wanashukrani kwani?....chuo kikuu cha Dodoma, uhuru wa watu kutoa mawazo yao na kwa ujumla Democrasia imekua sana ktk utawala wake . ..... Wananchi wamekua na nafasi kubwa ya kuwabana viongozi .mf . Angalia baraza la mawaziri limevunjwa mara kadhaa kufuatia malalamiko ya wananchi...
Kikwete's legacy after he retires will be the fragmentation of what was a homogenous nation by using religion as the yardstick in making senior government appointments!! Vasco Dagama ndio baba wa udini Tanzania; godfather wa wakina Ponda.
Atakumbukwa pia kama mtu aliyegeuza URAIS kama mali ya familia yake na pia patron wa majangili na wauza madawa ya kulevya.
Ndio hivyo. Ishamkata hiyo.
mkapa mjasiliamari mkubwa aliuza kila kitu,mpaka NBC, baba wa taifa akajaribu kuzuia lakini wapi.
Mkapa bonge la mtafutaji.
kama uhuru wa kuongea upo kulikuwa na haja gani ya kumteka Kibanda, kwa hapa tulipofika watu tungeongea tu hata kama tungetishwaHe forgot the freedom of speech that he brought us even though it might be unknowingly but we're extremely appreciate it Mr hb....
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk