Kwahiyo hiyo mia inafyonza au inafanyaje na ikifyonza hiyo damu ya sumu inaingia wapi au inadondoka?Kama ni jiwe
Hata tsh. 100 nayo hufanya hiyo kazi
Yaani kudondoka mpaka sumu iishe
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh nzuri hiyoYapo kwenye masoko ya kienyeji na pia kuna wahenga huwa wanayapitisha kwenye mabar na kutembeza mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi kudhani kama JF kuna mamende wengi kiasi hikimiguu kama ya kike mkuu samahaan
Kiukwel wakati nipo msata nlishawahi kula nyama ya nyoka aina ya kifutu. Nyoka ni white meat, it tastes like a fishhakuna kiumbe nakigopa Kama nyoka, hata nikikuta amekufa mwili hunisisimka.
Morogor stand ya Msamvu kuna mzee maarufu pale anayatembeza hasa kwenye magari yanayokwenda mawilayani ya Morogoro.Pole sana
Yanapatikana wapi hayo mawe
Kutokutangazwa sana naona sababu huku mijini nyoka ni nadra sana kukutana nao sababu hayana soko
mmh na uroho wangu hapo sithubutuKiukwel wakati nipo msata nlishawahi kula nyama ya nyoka aina ya kifutu. Nyoka ni white meat, it tastes like a fish
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli a long time ago ili jiwe Mzee wangu alilinunua sijui wapi mara nyingi ilipotokea mtu kugongwa na jamii ya viumbe weyenye sumu aliwekewa jiwe hilo leusi, ajabu lilikuwa linachukuliwa na hata majirani,hata watu wa ng"ambo nyingine.Labda kwenye mgunduzi ndiyo pana utata maana hilo vizazi na vizazi tena kwenye jamii zilizo mbali na Wamasai so pengine tu wewe ulinunua kwa Mmasai lakini siamini kama wao ndiyo waliligundua kwenye kabila letu(Jamii ya wafugaji) enzi hizo karibu kila familia walikuwa nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utalijua kwa kuliweka/kuligusa kwa ncha ya ulimi wako kwa mbele. Kama ni lenyewe litang'ang'ania halibanduki kirahisi na utahisi kufyonzwa ktk ulimi wako na kulibandua hapo utatumia nguvu. Lina rangi nyeusi kama mkaa na ni rough kidogo. Kama haling'ang'anii unapolilamba kwa ncha ya ulimi wako achana nalo. Ni Fake. Unaweza kuyapata mawe hayo siku za minada/magulio au kwa watembezaji stendi ya Mabasi pale Msamvu Morogoro na wanalihifadhi katika nylon ili lisipate unyevunyevu kwani litafyonza na kupoteza ubora wake.Huenda ni kweli hilo jiwe lina chemistry fulani ya kuondoa sumu, tatizo kuu kwa sasa ni ulaghai unaotumika kuuza mawe fake ili kupata pesa ya chap chap.
Huwezi kujua lipi ni jiwe halisi au usanii mpaka ulijaribu kwa mtu aliyeumwa na nyoka ama labda kama wewe ni mhenga wa Asili unayeweza kuyatambua hayo mawe.
Wamasai wengi wa sasa hapa mjini wameshachakachuliwa, ni matapeli wazuri sana wa kupitia kuuza vitu vya Asili fake.
Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena View attachment 582419View attachment 582420huyo mjamaa hapo juu alining'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa; SI KWELI mbona mm ninayo manne(4) na sijagongwa (sijang'atwa) hata mara moja na nyoka wala nge au buibui. Nimeyatunza na hutembea nayo mfukoni mara nyingi kwani naingiaga maporini mara kwa mara.
Huyo ndo mshana bhana..... Anatusimulia jiwe wakati yy mwenyewe kaazimwa...
Sawa.Lakini uwe makini usije kupata Fake.inabidi nilitafute....