Jiwe la sumu ya nyoka

Jiwe la sumu ya nyoka

Mkuu Mshana hiyo ni chemistry ambayo wazee wetu waliitumia nadhani bila wao kujua ni nini hasa kilikuwa kinatokea ni kama walivyokuwa wakibeba ndoo kichwani,ukiweka zinga/kata maana yake unapunguza pressure kwa kuongeza surface area ya kichwa,au unapopuliza moto unaongeza supply ya oxygen,back to Jiwe la nyoka japo siwezi kukumbuka vizuri maana elimu niliyokuwa napewa ilikuwa informal kidogo ,lile jiwe ni strongest reducing au oxidizing agents ambalo hutumiwa kureduce au kuoxiidiz sumu toka mwilini(sikumbuki vzuri) na kama sikosei lile jiwe potassium permanganate na watu wa chemistry mnajua ina oxid state ya +7
Haya ndiyo mambo ya kutafiti..!
 
Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena View attachment 582419View attachment 582420huyo mjamaa hapo juu aliing'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii

Sent using Jamii Forums mobile app

mshana jr bado hujaeleweka. Umesema uking'atwa na huyo nyoka na kuweka jiwe sehemu uliyong'atwa, jiwe halitoki mpaka sumu yote iishe. Pia unasema ulienda hospitali na ukapata dawa za kizungu kutibu ama kutoa sumu. Sasa iweje hilo jiwe liwepo mpaka unarudi nyumbani? Kuwa dawa za kizungu ulizopata hospitali hazijakusaidia au?
 
Kilifanyika hospital ni kuzuia sumu isisambae na kui neutralize, jiwe nimelitumia kufyonza sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana jr bado hujaeleweka. Umesema uking'atwa na huyo nyoka na kuweka jiwe sehemu uliyong'atwa, jiwe halitoki mpaka sumu yote iishe. Pia unasema ulienda hospitali na ukapata dawa za kizungu kutibu ama kutoa sumu. Sasa iweje hilo jiwe liwepo mpaka unarudi nyumbani? Kuwa dawa za kizungu ulizopata hospitali hazijakusaidia au?
Swali la msingi sana
 
pole sana Mkuu,na umeileta mada nzuri hapa kuhusu nyoka itabidi tupate mtaalamu wa masuala haya atuelimishe kuhusiana na viumbe hawa;maana ni vema tukatambua ni aina chache sana za nyoka wenye sumu na jinsi ya kuwatambua ni pamoja na kuangalia magamba yao na vichwa vyao,kipindi nchi ilipokuwa na adabu na heshima walikuwepo jamaa wa SPCA ambao walikuwa na uwezo wa kumkamata nyoka na kumrudisha kwenye mazingira yao ,maana tuelewe nao wanachangia sana katika eco systems ,nilipitia scouts na elimu hii nilikua nayo ila nimesahau ya kutambua nyoka wenye sumu na wasiokuwa na sumu na jinsi gani ya kufanya unapokabiliwa na hatari ya nyoka.otherwise pole sana Mshana jr
 
Duu OK hili silifahamu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka mshana jr , ni kweli hilo jiwe ni Mfupa wa mnyama na jinsi ya kulitengeneza huwa hivi

JINSI YA KUTENGENEZA "BLACK STONE"

1.
Chukua mfupa mrefu wa Nyati au Ngombe, mfupa mzuri ni ule wa zamani ulio mkavu kwa sababu utakuwa hauna mafuta tena

2. Uoshe mfupa wako ikiwezekana na sabuni kabisa, kisha ukaushe, osha tena na tena mpaka uhakikishe mfupa wako hauna utelezi wa aina yoyote au mafuta

3. Kata vipande vidogovidogo vya 2cm mpaka 4cm
4. Chukua msasa au tupa na sugua vipande vyako vya mfupa kuhakikisha kuwa vitobo vidogo vidogo (pores) vilivyopo kwenye mfupa vinakuwa wazi
4. Washa jiko lako la Mkaa au kuni juu ya kipande cha BATI na subiri mpaka mkaa/kuni zikolee kabisa na kipande hicho cha BATI kiwe cha moto sana
5. Fungua mkaa/kuni zako mpaka ulione BATI, weka vipande vyako juu ya hilo BATI la moto kisha vifunike hivyo vipande vya Mifupa na Mkaa/kuni za moto kwa dakika 15
6. Baada ya dakika hizo 15, fungua mkaa wako na anagalia vipande vyako vya mifupa kama ni vyeusi na vyenye kungaa, kama sio vyeusi labda tuseme ni vya Brown basi vurudishe tena kwenye moto
7. Kama ukitoa na kuviona ni vyeusi na vyenye kungaa, basi vichukue na uvitumbukishe kwenye maji ya Kisima, Chemchem au mto kwa dakika chache, kwa kufanya hivyo jiwe litakuwa gumu lililokomaa
Ufafanuzi: inashauriwa kutumika maji ya Kisima, Chemchem au Mto kwa sababu ni maji ambayo hayajapita kwenye madawa ya viwandani, hivyo maji ya Bomba, Chupa au maji Yaliyochemshwa hayafai

JINSI YA KULIJARIBU JIWE KAMA LINAFANYA KAZI VIZURI
Chukua jiwe lako na liweke juu ya ulimi wako na litaganda kwenye ulimi wako kama gundi, na likiwa hivyo basi jiwe lako liko sawa na tayari kwa kutumiwa, lioshe vizuri na litunze kwa dharura

JINSI YA KUTUMIA
Jiwe litumiwe haraka sana baada ya kugongwa na Nyoka au kuumwa na kitu chenye sumu

Fanya hivi

  1. Osha vizuri jeraha la Nyoka, Nge au chcochote chenye sumu
  2. Chanja kwa wembe hilo eneo mpaka uhakikishe damu inadondoka
  3. Weka jiwe lako hapo kwenye Jeraha na hakikisha linaganda hapo
  4. Hakikisha majeruhi amelala/Kaa kwa utulivu bila kuzungukazunguka
  5. Jiwe likishiba/likimaliza Sumu lenyewe litadondoka chini
  6. Tibu jeraha lako kwa dawa za kutibia vidonda, na mgonjwa anaweza pewa dawa za kutuliza maumivu
Jiwe lililotumika linaweza kutumika tena, cha kufanya ni kuliweka jiwe kwenye bilauri (glass) ya Maziwa kwa usiku kucha, na hayo maziwa yasinywewe na mtu yoyote au hata mnyama kwa sababu yatakuwa na sumu kutoka kwenye hilo jiwe.

SO UNAWEZA KUTENGENEZA MWENYEWE NA PIA UTAKUWA UMEPATA MATUMIZI SAHIHI YA HILO JIWE
 
Vipi ukituelezea hiyo miti tuifahamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nafikiria kwa miaka mingi namna yakuzibadili kitaalamu sitaitaja hata hivyo haipatikani kirahisi miti yenyewe then unachanganya mafuta ya Kondoo.
Tuseme mambo ya nyoka nayo yamepungua sana hata kwa vijijini siyo kama zamani so nguvu sana yakulifanyia kazi inapungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana Mkuu,na umeileta mada nzuri hapa kuhusu nyoka itabidi tupate mtaalamu wa masuala haya atuelimishe kuhusiana na viumbe hawa;maana ni vema tukatambua ni aina chache sana za nyoka wenye sumu na jinsi ya kuwatambua ni pamoja na kuangalia magamba yao na vichwa vyao,kipindi nchi ilipokuwa na adabu na heshima walikuwepo jamaa wa SPCA ambao walikuwa na uwezo wa kumkamata nyoka na kumrudisha kwenye mazingira yao ,maana tuelewe nao wanachangia sana katika eco systems ,nilipitia scouts na elimu hii nilikua nayo ila nimesahau ya kutambua nyoka wenye sumu na wasiokuwa na sumu na jinsi gani ya kufanya unapokabiliwa na hatari ya nyoka.otherwise pole sana Mshana jr
Asante sana binafsi nimepata mengi ambayo nilikuwa siyajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mshana hiyo ni chemistry ambayo wazee wetu waliitumia nadhani bila wao kujua ni nini hasa kilikuwa kinatokea ni kama walivyokuwa wakibeba ndoo kichwani,ukiweka zinga/kata maana yake unapunguza pressure kwa kuongeza surface area ya kichwa,au unapopuliza moto unaongeza supply ya oxygen,back to Jiwe la nyoka japo siwezi kukumbuka vizuri maana elimu niliyokuwa napewa ilikuwa informal kidogo ,lile jiwe ni strongest reducing au oxidizing agents ambalo hutumiwa kureduce au kuoxiidiz sumu toka mwilini(sikumbuki vzuri) na kama sikosei lile jiwe potassium permanganate na watu wa chemistry mnajua ina oxid state ya +7
KMnO4 ni oxidizing agent.
 
pole sana Mkuu,na umeileta mada nzuri hapa kuhusu nyoka itabidi tupate mtaalamu wa masuala haya atuelimishe kuhusiana na viumbe hawa;maana ni vema tukatambua ni aina chache sana za nyoka wenye sumu na jinsi ya kuwatambua ni pamoja na kuangalia magamba yao na vichwa vyao,kipindi nchi ilipokuwa na adabu na heshima walikuwepo jamaa wa SPCA ambao walikuwa na uwezo wa kumkamata nyoka na kumrudisha kwenye mazingira yao ,maana tuelewe nao wanachangia sana katika eco systems ,nilipitia scouts na elimu hii nilikua nayo ila nimesahau ya kutambua nyoka wenye sumu na wasiokuwa na sumu na jinsi gani ya kufanya unapokabiliwa na hatari ya nyoka.otherwise pole sana Mshana jr

Kaka mshana jr , ni kweli hilo jiwe ni Mfupa wa mnyama na jinsi ya kulitengeneza huwa hivi

JINSI YA KUTENGENEZA "BLACK STONE"

1.
Chukua mfupa mrefu wa Nyati au Ngombe, mfupa mzuri ni ule wa zamani ulio mkavu kwa sababu utakuwa hauna mafuta tena

2. Uoshe mfupa wako ikiwezekana na sabuni kabisa, kisha ukaushe, osha tena na tena mpaka uhakikishe mfupa wako hauna utelezi wa aina yoyote au mafuta

3. Kata vipande vidogovidogo vya 2cm mpaka 4cm
4. Chukua msasa au tupa na sugua vipande vyako vya mfupa kuhakikisha kuwa vitobo vidogo vidogo (pores) vilivyopo kwenye mfupa vinakuwa wazi
4. Washa jiko lako la Mkaa au kuni juu ya kipande cha BATI na subiri mpaka mkaa/kuni zikolee kabisa na kipande hicho cha BATI kiwe cha moto sana
5. Fungua mkaa/kuni zako mpaka ulione BATI, weka vipande vyako juu ya hilo BATI la moto kisha vifunike hivyo vipande vya Mifupa na Mkaa/kuni za moto kwa dakika 15
6. Baada ya dakika hizo 15, fungua mkaa wako na anagalia vipande vyako vya mifupa kama ni vyeusi na vyenye kungaa, kama sio vyeusi labda tuseme ni vya Brown basi vurudishe tena kwenye moto
7. Kama ukitoa na kuviona ni vyeusi na vyenye kungaa, basi vichukue na uvitumbukishe kwenye maji ya Kisima, Chemchem au mto kwa dakika chache, kwa kufanya hivyo jiwe litakuwa gumu lililokomaa
Ufafanuzi: inashauriwa kutumika maji ya Kisima, Chemchem au Mto kwa sababu ni maji ambayo hayajapita kwenye madawa ya viwandani, hivyo maji ya Bomba, Chupa au maji Yaliyochemshwa hayafai

JINSI YA KULIJARIBU JIWE KAMA LINAFANYA KAZI VIZURI
Chukua jiwe lako na liweke juu ya ulimi wako na litaganda kwenye ulimi wako kama gundi, na likiwa hivyo basi jiwe lako liko sawa na tayari kwa kutumiwa, lioshe vizuri na litunze kwa dharura

JINSI YA KUTUMIA
Jiwe litumiwe haraka sana baada ya kugongwa na Nyoka au kuumwa na kitu chenye sumu

Fanya hivi

  1. Osha vizuri jeraha la Nyoka, Nge au chcochote chenye sumu
  2. Chanja kwa wembe hilo eneo mpaka uhakikishe damu inadondoka
  3. Weka jiwe lako hapo kwenye Jeraha na hakikisha linaganda hapo
  4. Hakikisha majeruhi amelala/Kaa kwa utulivu bila kuzungukazunguka
  5. Jiwe likishiba/likimaliza Sumu lenyewe litadondoka chini
  6. Tibu jeraha lako kwa dawa za kutibia vidonda, na mgonjwa anaweza pewa dawa za kutuliza maumivu
Jiwe lililotumika linaweza kutumika tena, cha kufanya ni kuliweka jiwe kwenye bilauri (glass) ya Maziwa kwa usiku kucha, na hayo maziwa yasinywewe na mtu yoyote au hata mnyama kwa sababu yatakuwa na sumu kutoka kwenye hilo jiwe.

SO UNAWEZA KUTENGENEZA MWENYEWE NA PIA UTAKUWA UMEPATA MATUMIZI SAHIHI YA HILO JIWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro huo mguu wako Au wa shemeji yetu hahahahhaa (joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu acheni vituko mjue hapa sio mambasa! Huo mguu umevimba loh.
Na hapo ni hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
0dc7606ad413746f1e54dc926f59e822.jpg
 
Hapo ni barazani

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2017-09-06-09-51-48.png

Ndugu Mshana kwa level hizi jiwe la nyoka linakuwa kama Kindergarten maana hapa kwanza mgonjwa anatibiwa akiwa 90% ameshakufa so 10% tu ndiyo inafanyiwa kazi muda huo nywele ni sign kama bado uhai upo yaani zikivutwa nakuonekana ngumu uhai bado upo ila zikinyofoka kirahisi ujue hata ufanyeje dawa itadunda tu.

NB: Dawa nayo zungumzia ni special zaidi kwa hawa jamaa na jirani zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom