Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,491
- 857,801
- Thread starter
- #101
[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]pole sana mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]pole sana mshana
Mungu wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kama upo dar kuna mzee mmoja huwa anauza pale stendi Mbezi ya Kimara.jiwe linapatikana wap mkuu??
Kilifanyika hospital ni kuzuia sumu isisambae na kui neutralize, jiwe nimelitumia kufyonza sumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh naona tunashindwa kuelewana hapa! Hebu chukua utakayoona ni sahihiKwa maana hiyo jiwe la kimasai ni zaidi ya dawa za kizungu?
Mkuu; Pamoja na kuomba msaada wa kutafutiwa jiwe Og. hebu pia soma comment namba 94 na 95 hapo juu.ndio hapo nitalijuaje sasa lipi og...?
mshana jr waweza nitafutia pale msata kwa wamasai...?
AhsanteMkuu; Pamoja na kuomba msaada wa kutafutiwa jiwe Og. hebu pia soma comment namba 94 na 95 hapo juu.
Kuliko mende mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]pole kwa kuliwa na nyoka.. hawa wadudu nawaogopa sana
Mkuu umezaliwa Novemba?hakuna kiumbe nakigopa Kama nyoka, hata nikikuta amekufa mwili hunisisimka.
Ndiyo mkuuKuliko mende mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."