Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,142
- 2,241
Iliwahi nitokea Kijijni kwetu, asubuhi na mapema, najiaandaa kuvaa kiatu, wakati nakung'uta kiatu kama ilivyo ada, Nyoka anatoka ndani ya kiatu ....
Sikumpa nafasi nilichukua fimbo ya Mzee inayokaa nyuma ya Mlango nikampiga hakika pigo langu lilikuwa sawia ...
Nyoka ni Hatari sana ni vizuri kuchukua tahadhari kuwa na mawe kama hayo ndani ya Nyumba...
Sent using Jamii Forums mobile app