Jiwe la sumu ya nyoka

Jiwe la sumu ya nyoka

Mkuu Mshana hiyo ni chemistry ambayo wazee wetu waliitumia nadhani bila wao kujua ni nini hasa kilikuwa kinatokea ni kama walivyokuwa wakibeba ndoo kichwani,ukiweka zinga/kata maana yake unapunguza pressure kwa kuongeza surface area ya kichwa,au unapopuliza moto unaongeza supply ya oxygen,back to Jiwe la nyoka japo siwezi kukumbuka vizuri maana elimu niliyokuwa napewa ilikuwa informal kidogo ,lile jiwe ni strongest reducing au oxidizing agents ambalo hutumiwa kureduce au kuoxiidiz sumu toka mwilini(sikumbuki vzuri) na kama sikosei lile jiwe potassium permanganate na watu wa chemistry mnajua ina oxid state ya +7
Asante kwa maelezo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ni kweli hilo jiwe lina chemistry fulani ya kuondoa sumu, tatizo kuu kwa sasa ni ulaghai unaotumika kuuza mawe fake ili kupata pesa ya chap chap.

Huwezi kujua lipi ni jiwe halisi au usanii mpaka ulijaribu kwa mtu aliyeumwa na nyoka ama labda kama wewe ni mhenga wa Asili unayeweza kuyatambua hayo mawe.

Wamasai wengi wa sasa hapa mjini wameshachakachuliwa, ni matapeli wazuri sana wa kupitia kuuza vitu vya Asili fake.
 
Ago mawe Kwa kitaalamu tunayaita carbonicius rock nazani ni pumice type.
Sifa kubwa ya carbon rock ni kunyonya/kufyonza /adsorption kutokana na porous zake, Kwa kutumia hii physical properties hizi rocks zimekuwa na application mbalimbali mana zinauwezo wa kunyonya ions.
Kwa mfano kutumika ktk kuchuja maji (baadhi ya nchi wanatumia maji ya bahari lakini chumvi yote uondolewa kwenye maji Kwa kutumia carbon), kukamatia madini precious metal kama gold and silver zikiwa kwenye cyanidation solution ( CIL,CIP, Vat leaching plant )
All in all hizo rocks zina porous za kutosha kufyonza ions and that's why it used as adsorption of snake poison.
 
Labda kwenye mgunduzi ndiyo pana utata maana hilo vizazi na vizazi tena kwenye jamii zilizo mbali na Wamasai so pengine tu wewe ulinunua kwa Mmasai lakini siamini kama wao ndiyo waliligundua kwenye kabila letu(Jamii ya wafugaji) enzi hizo karibu kila familia walikuwa nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimemsogeza barazani

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hilo jiwe linamipaka nyoka wenye sumu zaidi haliwezi fua dafu.
Kuna nyoka hatari wenye sumu kali ambao lazima dawa kali zaidi itumike.
Binafsi hata siwezi elezea sayansi behind ila nilielekezwa na babu yangu miti kadhaa na nini cha kuchanganya endapo nyoka mwenye sumu kali zaidi ameng'ata mtu ama mimi mwenyewe.
Kuna miti mingi ila kuna miwili ndiyo naikumbuka vizuri na nini cha kuchanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hilo jiwe linamipaka nyoka wenye sumu zaidi haliwezi fua dafu.
Kuna nyoka hatari wenye sumu kali ambao lazima dawa kali zaidi itumike.
Binafsi hata siwezi elezea sayansi behind ila nilielekezwa na babu yangu miti kadhaa na nini cha kuchanganya endapo nyoka mwenye sumu kali zaidi ameng'ata mtu ama mimi mwenyewe.
Kuna miti mingi ila kuna miwili ndiyo naikumbuka vizuri na nini cha kuchanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ukituelezea hiyo miti tuifahamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom