Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 528
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.