Mbinu za kupata mke au mume

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,969
Kwa sasa inahitajika mbinu nyingi ili kupata mke au mume. Mkibaki kusubiri kuchumbiwa au kuchumbia, mtazeeka bika kuoa au kuolewa. Sasa jaribuni mbinu hizi:

1. Msikae ndani wiki nzima, toka nje, kama kuna matamasha nenda, mikutano mbalimbali nenda, kila aina ya mikusanyiko unayoweza kwenda basi wewe nenda.

2. Mikutano au vikao vya kidini, nenda bila kukosa labda kama umesafiri au unaumwa. Kwenye hivyo vikao jitahidi kuongea usikae kimya.

3. Kusali ni muhimu sana, kwa hiyo dini yako. Viongozi wako wa kidini wafanye kuwa marafiki na uwe muumini mzuri, mwenye nidhamu kubwa maana huwa wanaombwa sana kuwatafutia wenza

4. Kwa kuzingatia bajeti yako toka kwenye pub mwisho wa wiki hata kama hunywi bia,nenda kanywe juice, kula nyama,ongea na watu, kubadilishana mawazo.

5. Kuvaa vizuri, kila siku vaa vizuri bila kujali kama ni nguo za gharama, vaa kwa mpangilio na ni muhimu sana kuvaa viatu vizuri kila siku.

6. Dating sites jiandikishe na kujaribu bahati yako pia huko, hapa pia zingatia bajeti yako maana zingine ni za kulipia.

7. Usiogope kuongea na marafiki zako kuulizia kama kuna mtu anatafuta mke au mume, na ukiwajua nenda kaongea nao kuonesha utayarifu wako kuoa au kuolewa.

8. Tengeneza vigezo vyako vya mume au mke unayemtaka, ili iwe rahisi kuchagua.

9. Shiriki mazishi kadri unavyopata nafasi na uwe umevaa kiheshima.

10. Shiriki jogging mbalimbali ambazo hutangazwa na huko jichanganye na watu wa kila aina.

11. Chagua timu ya mpira moja uishabikie na uwe unaenda viwanjani na uwe umevaa vizuri.

12. Siku zote uwe msafi kwa mwili na nguo,usinuke mdomo, kikwapa na jasho kwani hiyo itakunyima mke au mme.

13. Chunguza uwajue ni wanawake wepi au wanaume ambao hawajaoa au kuolewa, ukiwajua fanya urafiki nao mpaka umpate mmoja ambae unaweza kuongea nae.

14. Jitahidi sana kutotembea na wanawake hovyohovyo au wanaume hovyohovyo, usimvulie kila mtu auone uchi wako.

15. Jifunze sex vizuri, uwe na stamina, na mbinu nyingi za kujamiiana, ili unapopata mpenzi umpe manjonjo ya hatari.

16. Fanya urafiki hapo mtaani unapokaa na wazazi ambao wana watoto wa kike na kiume ambao hawajaoa au kuolewa ili uwaambie upo tayari kuoa au kuolewa

17. Jitahidi sana kuongea kwa hadhari kila unapopata fursa kuongea.

18. Sali kila siku kuomba Mola wako akupe mme au mke.

19. Usisite kuja inbox kupata usaidizi uoe au uolewe na ni bure. Msikae ndani kusubiri, tokeni.

20. Kwa wanawake jitahidi sana usizae nje ya ndoa.
 
Kwa sasa inahitajika mbinu nyingi ili kupata mke au mume.Mkibaki kusubiri kuchumbiwa au kuchumbia,mtazeeka bika kuoa au kuolewa.Sasa jaribuni mbinu hizi:
1.Msikae ndani wiki nzima,toka nje,kama kuna matamasha nenda,mikutano mbalimbali nenda,kila aina ya mikusanyiko unayoweza kwenda basi wewe nenda
2.mikutano au vikao vya kidini,nenda bila kukosa labda kama umesafiri au unaimwa.Kwenye hivyo vikao jitahidi kuongea usikae kimya
3.Kusali ni muhimu sana,kwa hiyo dini yako.Viongozi wako wa kidini wafanye kuwa marafiki na uwe muumini mzuri,mwenye nidhamu kubwa maana huwa wanaombwa sana kuwatafutia wenza
4.Kwa kuzingatia bajeti yako toka kwenye pub mwisho wa wiki hata kama hunywi bia,nenda kanywe juice,kula nyama,ongea na watu,kubadilishana mawazo
5.Kuvaa vizuri,kila siku vaa vizuri bila kujali kama ni nguo za gharama,vaa kwa mpangilio na ni muhimu sana kuvaa viatu vizuri kila siku.
6.Dating sites jiandikishe na kujaribu bahati yako pia huko,hapa pia zingatia bajeti yako maana zingine ni za kulipia
7.Usiogope kuongea na marafiki zako kuulizia kama kuna mtu anatafuta mke au mume,na ukiwajua nenda kaongea nao kuonesha utayarifu wako kuoa au kuolewa
8.Tengeneza vigezo vyako vya mume au mke unayemtaka,ili iwe rahisi kuchagua
9.Shiriki mazishi kadri unavyopata nafasi na uwe umevaa kiheshima
10.Shiriki jogging mbalimbali ambazo hutangazwa na huko jichanganye na watu wa kila aina
11.Chagua timu ya mpira moja uishabikie na uwe unaenda viwanjani na uwe umevaa vizuri
12.Siku zote uwe msafi kwa mwili na nguo,usinuke mdomo,kikwapa na jasho kwani hiyo itakunyima mke au mme
13.Chunguza uwajue ni wanawake wepi au wanaume ambao hawajaoa au kuolewa,ukiwajua fanya urafiki nao mpaka umpate mmoja ambae unaweza kuongea nae
14.Jitahidi sana kutotembea na wanawake hovyohovyo au wanaume hovyohovyo,usimvulie kila mtu auone uchi wako
15.Jifunze sex vizuri,uwe na stamina,na mbinu nyingi za kujamiiana,ili unapopata mpenzi umpe manjonjo ya hatari
16.Fanya urafiki hapo mtaani unapokaa na wazazi ambao wana watoto wa kike na kiume ambao hawajaoa au kuolewa ili uwaambie upo tayari kuoa au kuolewa
17.Jitahidi sana kuongea kwa hadhari kila unapopata fursa kuongea
18.Sali kila siku kuomba Mola wako akupe mme au mke
19.Usisite kuja inbox kupata usaidizi uoe au uolewe na ni bure
Msikae ndani kusubiri,tokeni
20.Kwa wanawake jitahidi sana usizae nje ya ndoa
umegonga haswaa penyewe
 
Siku hiz kila kona mwendo wa semina tu mpaka kupata wake/wame napo Mbinu jamani🧐
 
21.Kwa wanaume jitahidi usimzalishe mwanamke kama huna mpango naye. Unaongeza idadi ya singo maza, watoto ambao hawatapata malezi ya pamoja ya baba na mama ambayo ni hatari kwa afya yao ya akili na ukuaji kimwili na kiroho.
kuntu
 
Kwa sasa inahitajika mbinu nyingi ili kupata mke au mume.Mkibaki kusubiri kuchumbiwa au kuchumbia,mtazeeka bika kuoa au kuolewa.Sasa jaribuni mbinu hizi:
1.Msikae ndani wiki nzima,toka nje,kama kuna matamasha nenda,mikutano mbalimbali nenda,kila aina ya mikusanyiko unayoweza kwenda basi wewe nenda
2.mikutano au vikao vya kidini,nenda bila kukosa labda kama umesafiri au unaimwa.Kwenye hivyo vikao jitahidi kuongea usikae kimya
3.Kusali ni muhimu sana,kwa hiyo dini yako.Viongozi wako wa kidini wafanye kuwa marafiki na uwe muumini mzuri,mwenye nidhamu kubwa maana huwa wanaombwa sana kuwatafutia wenza
4.Kwa kuzingatia bajeti yako toka kwenye pub mwisho wa wiki hata kama hunywi bia,nenda kanywe juice,kula nyama,ongea na watu,kubadilishana mawazo
5.Kuvaa vizuri,kila siku vaa vizuri bila kujali kama ni nguo za gharama,vaa kwa mpangilio na ni muhimu sana kuvaa viatu vizuri kila siku.
6.Dating sites jiandikishe na kujaribu bahati yako pia huko,hapa pia zingatia bajeti yako maana zingine ni za kulipia
7.Usiogope kuongea na marafiki zako kuulizia kama kuna mtu anatafuta mke au mume,na ukiwajua nenda kaongea nao kuonesha utayarifu wako kuoa au kuolewa
8.Tengeneza vigezo vyako vya mume au mke unayemtaka,ili iwe rahisi kuchagua
9.Shiriki mazishi kadri unavyopata nafasi na uwe umevaa kiheshima
10.Shiriki jogging mbalimbali ambazo hutangazwa na huko jichanganye na watu wa kila aina
11.Chagua timu ya mpira moja uishabikie na uwe unaenda viwanjani na uwe umevaa vizuri
12.Siku zote uwe msafi kwa mwili na nguo,usinuke mdomo,kikwapa na jasho kwani hiyo itakunyima mke au mme
13.Chunguza uwajue ni wanawake wepi au wanaume ambao hawajaoa au kuolewa,ukiwajua fanya urafiki nao mpaka umpate mmoja ambae unaweza kuongea nae
14.Jitahidi sana kutotembea na wanawake hovyohovyo au wanaume hovyohovyo,usimvulie kila mtu auone uchi wako
15.Jifunze sex vizuri,uwe na stamina,na mbinu nyingi za kujamiiana,ili unapopata mpenzi umpe manjonjo ya hatari
16.Fanya urafiki hapo mtaani unapokaa na wazazi ambao wana watoto wa kike na kiume ambao hawajaoa au kuolewa ili uwaambie upo tayari kuoa au kuolewa
17.Jitahidi sana kuongea kwa hadhari kila unapopata fursa kuongea
18.Sali kila siku kuomba Mola wako akupe mme au mke
19.Usisite kuja inbox kupata usaidizi uoe au uolewe na ni bure
Msikae ndani kusubiri,tokeni
20.Kwa wanawake jitahidi sana usizae nje ya ndoa
Ningelikuja inbox kupata ushauri, lakini nilivyoangalia hiyo "avatar" yako nikajua naongea na shetani! Shetani anataka akukutanishe na maajenti wake kwa njia ya ndoa ili akupige!
 
hahah acha tu yani ulale. uamke asubuhi uwaze nikatafute ndoa/mahusiano somewhere, why you are so desperately with this relationshits?
Watu weusi sisi tunawaza ushenzi muda mwingi mtu ambae yuko desperate na ndoa kuoa au kuolewa hasa wanawake mimi namuona kama mpumbavu hivi.

Tunashindwa kuwa desperate kuhusu hali zetu za maisha na taifa letu lilivyo tunawaza vitu vya kijinga tu ndio vinatuendesha.

Mtu anaona kama akikosa ndoa ni kama kanyimwa hewa anataka kufa huyu mtu hana tofauti na teja akikosa madawa ya kulevya.
 
With all due respect kuna namna tunakwama sana hii race yetu.

Nitakutolea mfano, miaka miwili nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa kijerumani, alikuwa ni doctor na ana miaka miwili tu toka amepata kazi.

Kuna wakati tulikuwa tunazungumza future yetu yule dada aliweka very clear kuwa hayupo tayari kuingia kwenye ndoa within five yrs kutoka pale sababu kubwa anahitaji time kudevelop carrier yake na maisha yake kwa ujumla (personal life) na ikitokea akafunga ndoa baada ya muda ule anahitaji kuenjoy maisha ya ndoa atleast miaka mitatu kabla hajafikiria kubeba ujauzito wa kwanza na by that time alikuwa na miaka 32 mi nikipiga hesabu zake hapo si chini ya miaka 8 hiyo mipango yake mpaka aje kunizalia nikaona mambo yasiwe mengi nikapita vilee.

Kiufupi wenzetu wanaplan na kuweka vipaumbele sana mipango ya maisha yao na ndoa mara nyingi inakuja baadae wakati kashaweka mambo yake sawa, sasa sisi wabongo hasa watoto wa kike kwanza ndoa wamechukulia kama kitega uchumi ama tool ya kutatua shida zao za kiuchumi ndio maana wengi wapo desperately, na expectations kibao.
 
Kwa sasa inahitajika mbinu nyingi ili kupata mke au mume.Mkibaki kusubiri kuchumbiwa au kuchumbia,mtazeeka bika kuoa au kuolewa.Sasa jaribuni mbinu hizi:
1.Msikae ndani wiki nzima,toka nje,kama kuna matamasha nenda,mikutano mbalimbali nenda,kila aina ya mikusanyiko unayoweza kwenda basi wewe nenda
2.mikutano au vikao vya kidini,nenda bila kukosa labda kama umesafiri au unaimwa.Kwenye hivyo vikao jitahidi kuongea usikae kimya
3.Kusali ni muhimu sana,kwa hiyo dini yako.Viongozi wako wa kidini wafanye kuwa marafiki na uwe muumini mzuri,mwenye nidhamu kubwa maana huwa wanaombwa sana kuwatafutia wenza
4.Kwa kuzingatia bajeti yako toka kwenye pub mwisho wa wiki hata kama hunywi bia,nenda kanywe juice,kula nyama,ongea na watu,kubadilishana mawazo
5.Kuvaa vizuri,kila siku vaa vizuri bila kujali kama ni nguo za gharama,vaa kwa mpangilio na ni muhimu sana kuvaa viatu vizuri kila siku.
6.Dating sites jiandikishe na kujaribu bahati yako pia huko,hapa pia zingatia bajeti yako maana zingine ni za kulipia
7.Usiogope kuongea na marafiki zako kuulizia kama kuna mtu anatafuta mke au mume,na ukiwajua nenda kaongea nao kuonesha utayarifu wako kuoa au kuolewa
8.Tengeneza vigezo vyako vya mume au mke unayemtaka,ili iwe rahisi kuchagua
9.Shiriki mazishi kadri unavyopata nafasi na uwe umevaa kiheshima
10.Shiriki jogging mbalimbali ambazo hutangazwa na huko jichanganye na watu wa kila aina
11.Chagua timu ya mpira moja uishabikie na uwe unaenda viwanjani na uwe umevaa vizuri
12.Siku zote uwe msafi kwa mwili na nguo,usinuke mdomo,kikwapa na jasho kwani hiyo itakunyima mke au mme
13.Chunguza uwajue ni wanawake wepi au wanaume ambao hawajaoa au kuolewa,ukiwajua fanya urafiki nao mpaka umpate mmoja ambae unaweza kuongea nae
14.Jitahidi sana kutotembea na wanawake hovyohovyo au wanaume hovyohovyo,usimvulie kila mtu auone uchi wako
15.Jifunze sex vizuri,uwe na stamina,na mbinu nyingi za kujamiiana,ili unapopata mpenzi umpe manjonjo ya hatari
16.Fanya urafiki hapo mtaani unapokaa na wazazi ambao wana watoto wa kike na kiume ambao hawajaoa au kuolewa ili uwaambie upo tayari kuoa au kuolewa
17.Jitahidi sana kuongea kwa hadhari kila unapopata fursa kuongea
18.Sali kila siku kuomba Mola wako akupe mme au mke
19.Usisite kuja inbox kupata usaidizi uoe au uolewe na ni bure
Msikae ndani kusubiri,tokeni
20.Kwa wanawake jitahidi sana usizae nje ya ndoa
Asante sana mkuu Kwa skills mbali mbali ulizo wapa vijana zikawasaidie.....
 
Back
Top Bottom