Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
yewoooo...ukampa shati lako?? hilo lishafika kwa babu tanga. tusubiri tu ndoa sasa. alililiiiiiiii....
Wala haiko hivyo. Alilipenda tu, cuz siku ya pili baada ya kumpa nilimuona kalivaa. Halafu haya mambo ya babu na stress za kuolewa tunayo sisi Bongo tu, wenzetu wako tofauti so niko salama kabisa.