Jirani yangu simwelewi

Jirani yangu simwelewi

Oooooouuuuhhhhh kwani ku keep it real Na kumchana unaona jao..! Upo wakaa Street gani
 
Yeah kweli kabisa, hata mi nawaonaga hivyo. Tena sometimes nahisiga wanaenjoy life kuliko sisi, nadhani tunajipa stress sana kwa hizi ambition zetu za ku-aim high kila kitu. Imaginary life tunayo-wish nahisi inatutesa sana bila kujijuwa
wala. hata wao huko uswazi wana-struggle kupata chakula, wana-aim high nao siku moja waje kula nyama na samaki bila shida, na ndoto nyingine nyingi kama hizo za kumiliki sofa, friji, friji ya milango miwili., vitenge vya wax.... Kila mtu ana ambition sema mapana na aina ya ambition inategemea uko wapi, umezungukwa na nini, n.k.
 
Yeah ofcourse
 
Mi nimechoka yani,saiv nikirudi kwangu as long as nimelipa bills na sina cha kuongea na mtu najifungia ndani kwangu. Naonaga ni bora kukeep distance na mtu mkaheshimiana kwa kwa mbali kuliko kuzoeana mkakwazana kirahisi over vitu visivyo na msingi.
*inawezekana kabisa tatizo ni wewe,jaribu kwenda nae sawa hutapungukiwa huyo anaku admire tu ndio shida yake.jamii ili ikamilike lazima ibebe tabia zote na alie sawa in yule anaeweza Ku socialize na kila mmoja
 
Watu wa dizain hiyo huwa na kero nyingi.
*kuswaki kwa kelele kama anauwawa
*kuburuza viatu koridoni
*bass ya subwoofer ya kuumiza kichwa
*kuazima azima vitu

Dawa ni kujenga yako basi.
 
Hama huko uswahilini.Huwezi kuepuka mambo kama hayo ukiishi uswahilini.
 
Kama uliweza kumhudumia akiwa mgonjwa na hadi kumpikia basi endelea na moyo huo huo kwani kitunguu bei gani bana.
 
Back
Top Bottom