Eeeeeh?
Shati ulifanyaje???????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bora yako ww.,Mm nilikuta sharti nililoanika kwenye kamba kalinyoosha kalivaa.,hlf ni mke wa mtu.,Nikichukia sana na kulichoma moto hilo shartWatu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.
Umetisha mpendwa(kwa kugawa shati)Haha. Ilibidi nigawe shati mpendwa. Tena juzi nikamuona kalivaa, nikamkwepa.
Za siku lakini? Sikuoni kwaya siku hizi.
Watu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.
Bora yako ww.,Mm nilikuta sharti nililoanika kwenye kamba kalinyoosha kalivaa.,hlf ni mke wa mtu.,Nikichukia sana na kulichoma moto hilo shart
Umetisha mpendwa(kwa kugawa shati)
Nipo mpendwa napita mara chache chache siku hizi....humu chai zimezidi wanatuunguza midomo
Hahahaha we nae jiongeze wanataka waje wakufanyie usafi na kukupikia af huelewi??? Uyo alochukua shati atapita mtaani kwako siku akuambie nipo mtaani hapa kwako wapi nikuletee shati?
Wala sio hivyo. Wako genuine. If it helps, sio wabongo so sio sanaa hizo.
Kuulizwa unapika nini na umenunua kiasi gani nayo imekuwa kesi? wengine wanauliza ili wapate ufaham wajichangishe wakatafute vya kwao, ukitaka usiulizwe kaishi masaki mama, sipati picha ukiishi nyumba yenye watoto alafu waombe kuangalia TV kwako
Aaah lile shati nilokununulia wewe umehonga, Chinekeeeee. Afu huko kazini haya, waendelee tu kukuuliza nani anakufutia viatu![]()
![]()
Mimi ni kwa kua naona naonewa![]()
Well maybe its mere admiration and I'm over reacting or maybe ni uswahili wa kufatiliana sijui but either way It makes me uncomfortable. Like you said watu wa hivyo wapo ila if you're smart enough to read peoples minds you'll know who is genuine and who is not. In my case my neighbor isn't...that's what irritates me the most!
Don't sweat it. If she steals him, I gotcha.
On a serious note, just talk to her. Tell her how uncomfortable she makes you. You got nothing to lose.
Akifanya hivi ajiandae taarifa mtaani za anajiona, anajisikia, ana nyodo, ana dharau nk nk.
Olivia Pope