KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 631
Ni bora kuhamia kwako tu. Mi mwenyewe nitahamia kwangu vyumba viwili tu. Nitaanza kujenga nyumba ninayoitaka nikiwa kwangu takujenga nikiwa kwangu tayariNa ndio maana nimehamia kwangu vyumba 2, sebule, jiko na choo, kiwanja bwelele, kuku, migomba, nazi, mindimu, passion, mipapai, miwa n.k., hamia kwako, hata kuwe kibamba, mbezi, bunju, chanika, bagamoyo etc etc, usiku usingizi wa kufa mtu, usafiri poa tu, adapt..
Nyumba za kupanga zina kero.
Nikirudi ni kwangu tu, labda nisikie jirani anaumwa