Jirani yangu simwelewi

Jirani yangu simwelewi

Hama uswahilini, tafuta mahali penye hadhi yako kama huwezi maisha ya uswazi....
Tatizo you are the right person in a wrong place....
Na ndio maana nimehamia kwangu vyumba 2, sebule, jiko na choo, kiwanja bwelele, kuku, migomba, nazi, mindimu, passion, mipapai, miwa n.k., hamia kwako, hata kuwe kibamba, mbezi, bunju, chanika, bagamoyo etc etc, usiku usingizi wa kufa mtu, usafiri poa tu, adapt..
 
Hivi Douta Benny anakuvyokuja kuulizia vitabu vya biology kuna kingine anachoulizia? Maana siyaelewi malalmiko yake hapa.



Kwani mkuu we si unaendaga kuulizia notice tu? Au?
Hahah mkuu Raimundo
Ile ya vitabu kama ilianza kushtukiwa hivi naona Douta kaja na wazo jipya la project nahisi litanifaa zaidi...
 
Sijaona tatizo huenda wewe hutaki kuwa karibu naye ndio sababu unaona kama kero ila jitahidi sana kuwa flexible coz nivigumu kuchagua jirani na uvumilivu unahitjika
 
Huyu jirani hata siku ukijiiba na mpenzi wako....... atakuuliza Ieo umepigwa vingapi hatari sana!
 
Wewe ushasema jirani yako anatokea Shinyanga. Sasa amekuja jiji la Dar lazima kila kitu akishangalie na aulizie mwenzio bado mshamba huyo. Hebu muoneshe jiji kama ulivyo mhudumia alivyokuwa akiumwa.
 
huyo ni nyakunyaku siyo bure hata yaaan usimzoeee ana tamaa pitilizi
 
Back
Top Bottom