The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Eeeeeh?
Shati ulifanyaje???????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dogo hajui 'kutongozwa na wadada kukoje'
kampa shati kweli badala ya kumuambia njoo 'home' uchague mwenyewe
cc Evelyn Salt
Eeeeeh?
Shati ulifanyaje???????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama alilipeleka amebugi kwakweli, ilitakiwa alifate homeDogo hajui 'kutongozwa na wadada kukoje'
kampa shati kweli badala ya kumuambia njoo 'home' uchague mwenyewe
cc Evelyn Salt
Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu. Huyu dada jirani yangu alinikuta wakati akihamia hapo na mwanzoni alipata matatizo nikamsaidia kama kama ambavyo ningemsaidia binadamu yoyote. Aliumwa na hakuwa na ndugu karibu (kwao Shinyanga) hivyo nilimhudumia kwa ukarimu wote nilimpikia, na kumsaidia kufanya usafi hadi alipopata nafuu.
Baada ya kupona maisha yaliendelea japo hatukua na ukaribu zaidi ya salamu na mambo basic kama kushare bills. Kumbuka sisi ni vijana na pretty much ndio tumeanza kujitegema so hatujajiestablish kihiivyo...ila nimegundua huyu jirani yangu ni kama anawivu ama sijui ni kitu gani. Alipokuja kwangu kila alichokiona alitaka kujua ni menunua bei gani na vingine alidiriki kuniuliza umenunuliwa na mpenzi wako? Sikumbuki nilipotezeaje coz sionagi kama ni sawa ku disclose mambo yangu binafsi kwa mtu ambae sio wa karibu.
Ila naona ni kama tabia kila tukionana akiona nimebadilisha style atauliza umesuka bei gani, juzi kaniona na simu kaniuliza mbona hujanionyesha kitu kipya. yani hata nikinunua maybe kiblouse kipya lazima atauliza. Kinachonimaliza ni kwamba hata kama niko ndani napika ataongea from her room eeeeh jirani leo unapika samaki au leo unapika kitu flani? Hua namjibu kwa maneno machache tu.
Bottom line ni kwamba she makes me uncomfortable!!!!!!! Yani very uncomfortable!!!!! Akiona mpenzi wangu wangu yupo ndani atakuja kunigongea either aombe kitunguu au kibiriti.
Nisaidieni jirani wa hivi naishije nae?????
Kwa Kaboom akiomba shati naamini ataongezewa na singlet....Yaani hizo zimkute Kaboom....
Kwa Kaboom akiomba shati naamini ataongezewa na singlet....
Jamaa hanaga utani na fursa
Hahahaha!jaman,hivi nilijua ni mimi tu,bwana kabanga ananichekeshaga sana majibu yake mafupi tu nikirudi kwenye Avatar yake ndo nazidi kucheka,kwakweli natamani sana kumuona anafananaje mtu huyu.Nikionaga Avatar Ya kabanga Yule Mtu Alivyonuna Basi Aisee Na Sawa... Za Kabanga Nazisomaga Kwa Bass Nadhan Ile Avatar Ndo Inaongea Kwa Bass
Ama kweli we msaga sumu nakuongezea na jina hili la ubaya MKAANGA MBUYU.siku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
Hao ndo tunasemaga ni wachamungu waliobakia mkuu.Dogo hajui 'kutongozwa na wadada kukoje'
kampa shati kweli badala ya kumuambia njoo 'home' uchague mwenyewe
cc Evelyn Salt
nimekubali aiseeSiku moja usiku mwite chumbani kwako, akiingia zima taa sekunde tatu washa akukute umeshika bisu kubwa, atastuka, mwonye kwa ishara asisubutu kupiga ukelele, kisha mwambie, "USINIZOEE KUANZIA LEO VINGINEVYO UTAIJUA KAZI YANGU" zima taa mwambie "POTEA" hatorudia na nyumba atahama.

nimelipokea kwa mikono miwili,hahahaaAma kweli we msaga sumu nakuongezea na jina hili la ubaya MKAANGA MBUYU.
nimechka kwa nguvu.....kumbe na ninyi huwa mnamuona na zile aiseeeee zake! avatar yake inasadifu yaliyomo ndani yakeNikionaga Avatar Ya kabanga Yule Mtu Alivyonuna Basi Aisee Na Sawa... Za Kabanga Nazisomaga Kwa Bass Nadhan Ile Avatar Ndo Inaongea Kwa Bass
Roho mbaya haijengi. Mwenzio ndio kwanza kaingia jijini akishalijua jiji hayo yote yataisha. Kwani wewe ulijitawazisha mwenyewe udogoni?huyo ni nyakunyaku siyo bure hata yaaan usimzoeee ana tamaa pitilizi
yewoooo...ukampa shati lako?? hilo lishafika kwa babu tanga. tusubiri tu ndoa sasa. alililiiiiiiii....Watu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.
Duh usirudie kugawa nguo aisee kuna watu wa ajabu acha.Watu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.
huyo ni mswahili tu mwenye tamaa na mmbea. Nimeshakutana nao. Nilipomaliza chuo nilikaa nyumba ya peke yangu uswahilini kidogo nikawa naishi kivyangu vyangu sina habari na mtu zaidi ya salamu, ila baadae nikasema nisijitenge sana niwaungishe hata kusuka tu. loh! nilijuta. Mpaka umalize kusukwa ushahadithiwa stori ya kila mwanamke hapo mtaani na wala huwajui unaishia tu enhe..inhi..mmh. Ameshakwambia siri zake zote (we ndo unaona ni siri). Halafu wanawake wa kiswahili karibia wote wanajua wenzao vitu tunanunuliwa na wanaume, kwa hiyo akikuona na kitu kizuri anajua una "bonge la bwana"! Wale watu wanaishi maisha ya raha sana, hawana stress. Ambition kubwa ni kumiliki dera kama la flani, acheze upatu anunue "desin tebo" kama ya fulani .. baas.Well maybe its mere admiration and I'm over reacting or maybe ni uswahili wa kufatiliana sijui but either way It makes me uncomfortable. Like you said watu wa hivyo wapo ila if you're smart enough to read peoples minds you'll know who is genuine and who is not. In my case my neighbor isn't...that's what irritates me the most!