Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Kama sio kweli, then hakuna madhara.
Sure. Uswahilini unaweza kutengwa hata na majirani kama muhusika anajua kutema sumu.
Kama sio kweli, then hakuna madhara.
hahaha naona tabiaza kiswahili au uswahilini af weujazizoea hahahpole, mtu kama huyo ni shida...ni muda si mrfu yatakuja malumbano au beef za ikekie zile....ana matatizo inabidi utumie busara na akili ya ziada,....ndio wale wanaojifanya kukuzoea af baadae waanzishe mengine.....nimkaa uuswazi niljionea nkashangaaa mpaka nkagegeda mtu wa humo ndani hiyo nyumba ya kupanga hahahaha
Don't sweat it. If she steals him, I gotcha.
On a serious note, just talk to her. Tell her how uncomfortable she makes you. You got nothing to lose.
Hahahah Olivia hakika ww ni mchokozi,haya maudhi ni kama ya bint machozi ( jide)Location ya kuishi sijui masaki sijui wapi sio tatizo tatizo ni watu unaoishi nao!!! Sijakataa kuulizwa ila ni tabia mtu amejijengea na siipendi!!! Mtu ana upara ananiuliza nimesuka bei gani iweje? Nimenunua simu mpya anataka nimjulishe iweje? Au anauliaza kama nimenunuliwa na mpenzi? Lazima ni question her motives ama reasons za kuuliza hivi.
FYI ninapoishi kuna watoto wa jirani nawapenda na wananipenda balaa nawawekea cartoon mara moja moja na h/work nafanyaga nao.
Vipi ushamrudisha housegirl kwao? Au umepata mke mwenza? Vipi mumeo bado akiongea na HG unawaweka kikao na kuwasuta?????
Location ya kuishi sijui masaki sijui wapi sio tatizo tatizo ni watu unaoishi nao!!! Sijakataa kuulizwa ila ni tabia mtu amejijengea na siipendi!!! Mtu ana upara ananiuliza nimesuka bei gani iweje? Nimenunua simu mpya anataka nimjulishe iweje? Au anauliaza kama nimenunuliwa na mpenzi? Lazima ni question her motives ama reasons za kuuliza hivi.
FYI ninapoishi kuna watoto wa jirani nawapenda na wananipenda balaa nawawekea cartoon mara moja moja na h/work nafanyaga nao.
Vipi ushamrudisha housegirl kwao? Au umepata mke mwenza? Vipi mumeo bado akiongea na HG unawaweka kikao na kuwasuta?????
Si bora kuchambua majirani kuliko kumchambua mumeo mbele ya house girl??? Kwa taarifa yako nikiwa mke mwenza wako jiandae kupewa talaka maana kwa kukusoma tu naona ZERO!!Hahaha nakusubiria wewe ndie unafaa hasa kuwa mke mwenzangu, maana una vigezo vyote, vya kuchambua majirani
It's handled (in Olivia's voice)! Asante kwa ushauri though...Tafuta movie inayendana na hizo tabia then mkaribishe muicheki wote. Sasa hapo ndo utakuwa unasubiri tu ikijionyesha tabia mojawapo unamgongelea "siipendi hiyo tabia, watu wengine sijui wakoje". Slowly atabadilika and she will be a nice girl to you.
Huwezi jua, Mungu kamleta hapo kwa maksudi ili apate darasa toka kwako. Unaonekana mjanja, so I am sure hiyo ni ishu ndogo huwezi kuishindwa kuihandle. Otherwise, it feels so good helping someone to move from one point (lower level) to another point (higher level). Good luck Mama wa "Scandal!"!
Aisee roho imeniuma sana,ama kweli hakuna kapa isiyokuwa na usubi,Yaan wenzangu wananunuliwa mpaka mashati....tip tap tip...Aaah lile shati nilokununulia wewe umehonga, Chinekeeeee. Afu huko kazini haya, waendelee tu kukuuliza nani anakufutia viatu![]()
![]()
Teh usijali mpendwa, na wewe Mungu atakupa anayekununulia kila kituAisee roho imeniuma sana,ama kweli hakuna kapa isiyokuwa na usubi,Yaan wenzangu wananunuliwa mpaka mashati....tip tap tip...
!
UwiiSiku moja usiku mwite chumbani kwako, akiingia zima taa sekunde tatu washa akukute umeshika bisu kubwa, atastuka, mwonye kwa ishara asisubutu kupiga ukelele, kisha mwambie, "USINIZOEE KUANZIA LEO VINGINEVYO UTAIJUA KAZI YANGU" zima taa mwambie "POTEA" hatorudia na nyumba atahama.






wewe ndo umenifanya nicheke kwa sauti.Hahahahahateh teh teh panya hafundishwi kula sufi tutabanana hapa hapa.Teh usijali mpendwa, na wewe Mungu atakupa anayekununulia kila kitu
Usimshauri mwenzio nidhamu ya kuwaogopa walimwengu wenzie! Hapo ni kumchana aendelee na maisha yakeHakuna namna zaidi ya kuhama hapo.
Project project projectHivi Douta Benny anakuvyokuja kuulizia vitabu vya biology kuna kingine anachoulizia? Maana siyaelewi malalmiko yake hapa.
Kwani mkuu we si unaendaga kuulizia notice tu? Au?
Niunganishe naye, nitamweka bize asikusumbue, mwambie nimekutafutia babu wa kukulea!!!!!!Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu. Huyu dada jirani yangu alinikuta wakati akihamia hapo na mwanzoni alipata matatizo nikamsaidia kama kama ambavyo ningemsaidia binadamu yoyote. Aliumwa na hakuwa na ndugu karibu (kwao Shinyanga) hivyo nilimhudumia kwa ukarimu wote nilimpikia, na kumsaidia kufanya usafi hadi alipopata nafuu.
Baada ya kupona maisha yaliendelea japo hatukua na ukaribu zaidi ya salamu na mambo basic kama kushare bills. Kumbuka sisi ni vijana na pretty much ndio tumeanza kujitegema so hatujajiestablish kihiivyo...ila nimegundua huyu jirani yangu ni kama anawivu ama sijui ni kitu gani. Alipokuja kwangu kila alichokiona alitaka kujua ni menunua bei gani na vingine alidiriki kuniuliza umenunuliwa na mpenzi wako? Sikumbuki nilipotezeaje coz sionagi kama ni sawa ku disclose mambo yangu binafsi kwa mtu ambae sio wa karibu.
Ila naona ni kama tabia kila tukionana akiona nimebadilisha style atauliza umesuka bei gani, juzi kaniona na simu kaniuliza mbona hujanionyesha kitu kipya. yani hata nikinunua maybe kiblouse kipya lazima atauliza. Kinachonimaliza ni kwamba hata kama niko ndani napika ataongea from her room eeeeh jirani leo unapika samaki au leo unapika kitu flani? Hua namjibu kwa maneno machache tu.
Bottom line ni kwamba she makes me uncomfortable!!!!!!! Yani very uncomfortable!!!!! Akiona mpenzi wangu wangu yupo ndani atakuja kunigongea either aombe kitunguu au kibiriti.
Nisaidieni jirani wa hivi naishije nae?????
Project project project