Jirani yangu ana kibamia Ila ana michepuko

Anahonga sana.

Pia sijui kama tatizo la kumaliza haraka kama linahusiana na size ya mtwangio.
 
Msipotongozwa hata mwezi mmoja, Mtamtafuta mchawi, Mkimpata mume napo ni shida tena.
Mnatudharau sana nyie, Mara tuna kibamia, mara tunakwenda mara chache, Tukichepuka nje napo tutakuwa tumewakosea?
Au tukiwaoa Watusi na Wanyankole napo mtatupeleka kwa makonda!?
 
Kuna Jirani yangu bwana mke wake ni Rafiki yangu kiaina.ndoa yake ina mizozo sana.mizozo hyo imesababisha mama aondoke kwasababu hakitulizi .mume nae michepuko.
Siku moja nikamuuliza mke si ukitulize tu una mume ndani? Akaniambia miss n huyu mume akiingia tu dakika nyingi keshamaliza. Mimi hapa nilishazoea ex wangu na Mimi tulikuwa tunavuta bange ndo tunaingia bed .yaani hapo dakika tisini ndo itaamua goli lipatikane hata kwa penalty au dakika za nyongeza.
Heee nikashangaa dkk tisini me mwenyewe kuku tu.

Lengo la umbea huu ni kwamba huyu bwana wa dakika robo kila siku namuona na mchepuko mpya .najiuliza? Anawafanya nini?
Mchepuko wake wewe nn? Hahahaha! Unaonaje mambo yake lakini?
 
Si kila mwanaume anakuwa kuku kwa kila mwanamke
Kuna mwanamke ukiwa nae utaenda moja tu tena dk5
Kuna mwanamke ukienda nae utaenda nae moja dk45
Kuna mwanamke utaenda bao zaid ya 4 kila bao na mda wake, kwa ujumla zaid ya masaa3

Sitaki kuingilia ndoa yao ila kuna mambo mengi katika ndoa, mwenyewe nikianza kufikilia hayo yote huwa najiuliza kama niko tayar kuoa
Sure mkuu ivi ni kwa nn.. mm niki do na demu wangu nachelewa sana lkn nikipata kimchepuko dk 4 nying
 
Kuna Jirani yangu bwana mke wake ni Rafiki yangu kiaina.ndoa yake ina mizozo sana.mizozo hyo imesababisha mama aondoke kwasababu hakitulizi .mume nae michepuko.
Siku moja nikamuuliza mke si ukitulize tu una mume ndani? Akaniambia miss n huyu mume akiingia tu dakika nyingi keshamaliza. Mimi hapa nilishazoea ex wangu na Mimi tulikuwa tunavuta bange ndo tunaingia bed .yaani hapo dakika tisini ndo itaamua goli lipatikane hata kwa penalty au dakika za nyongeza.
Heee nikashangaa dkk tisini me mwenyewe kuku tu.

Lengo la umbea huu ni kwamba huyu bwana wa dakika robo kila siku namuona na mchepuko mpya .najiuliza? Anawafanya nini?
Unauhakika huyo shoga yako huko chini hana bahari kiasi ya mumewe ionekane ni alikibamia?,Hata kupiga deki baharini ni kufanya mapenzi
 
Bangi ukichanganya na starehe za kudinyana! N hatariiiii unahis utam mpk kwenye utosi
 
Si kila mwanaume anakuwa kuku kwa kila mwanamke
Kuna mwanamke ukiwa nae utaenda moja tu tena dk5
Kuna mwanamke ukienda nae utaenda nae moja dk45
Kuna mwanamke utaenda bao zaid ya 4 kila bao na mda wake, kwa ujumla zaid ya masaa3

Sitaki kuingilia ndoa yao ila kuna mambo mengi katika ndoa, mwenyewe nikianza kufikilia hayo yote huwa najiuliza kama niko tayar kuoa
Ndoa haina mjanja ndoa haina mjinga ukiendelea kuchelewa inaweza kua hatari zaidi ukibahatika utainjoy sana
 
Back
Top Bottom