Jirani yangu ana kibamia Ila ana michepuko

Jirani yangu ana kibamia Ila ana michepuko

Mke mvuta bangi basi kazoea kukwanguliwa kwa nguvu ndo maana anamdharau mumewe

Na jamaa ili kuonyesha ana uwezo kuliko dharau za mke ndo kaamua kuleta michepuko ya kila aina kukomesha dharau
Yaani jamaa kila siku ana kitu kipya
 
Psychologically wanaume wenye matatizo hayo ,mara nyingi hutafuta ulinzi kwa kuhakikisha wanakua na madem tofauti , nawanafanya ivo either kuhisi watapata mwanamke saizi yake kimaumbile.

Au kujaribu kufanya manipulation kwa mwanamke wake yaan mwanamke ujihisi wewe ndo mwenye matatizo .
Una pointi Putin .Ila ni kujitesa
 
Kama wa dar basi labda mashosti zake wanapiga umbea tu
 
Anawapa helaaa ,wanawake watu Wa ajabu sana pesa ndio sabuni ya roho yao
 
Basi Kuna mawili hapo miss, mos either wanafuata pochi Nene au pili atakuwa anawaridhisha fresh tu, ila mkewe kanogewa na game za kibabe za kuongeza na nguvu za Ziada ndiyo maana haridhiki.
Pochi ipo sana . hyo namba mbili sijui kwa kweli
 
huyo mwanake mbona ange koma aje hapa kwanza tukasalimiane gest
 
Kuridhika wakati wa kugegedana hutegemea mambo mengi.
1. Mazoea
2. Jinsi ulivyompenda mwenza wako
3. Kama kuna tatizo kati yenu.
Hii haijalishi kama ni kibamia, maji mengi, ukubwa wa papuchi na mengineyo.
Nitarudi.
 
Miss ndoa ina mambo mengi sana. Hapo jamaa anafanya hilo kwa mkewe kama wajibu tu lakini inaonekana hana tena hisia na mkewe. Inawezekana sababu kishamzoea sana anahisi hahitaji kupoteza muda mwingi maana kishatimiza wajibu kama mume. Pia inaonekana mwanamke hana mawasiliano mazuri na mume wake kumueleza anataka nini anaona njia pekee ya kutatua tatizo ni kutoka nje. Mwambie waache ubinafsi yeye na mumewe maana kila mmoja hapo anaangalia jinsi ya kukidhi haja zake tu na hisia zake.
 
Kuna Jirani yangu bwana mke wake ni Rafiki yangu kiaina.ndoa yake ina mizozo sana.mizozo hyo imesababisha mama aondoke kwasababu hakitulizi .mume nae michepuko.
Siku moja nikamuuliza mke si ukitulize tu una mume ndani? Akaniambia miss n huyu mume akiingia tu dakika nyingi keshamaliza. Mimi hapa nilishazoea ex wangu na Mimi tulikuwa tunavuta bange ndo tunaingia bed .yaani hapo dakika tisini ndo itaamua goli lipatikane hata kwa penalty au dakika za nyongeza.
Heee nikashangaa dkk tisini me mwenyewe kuku tu.

Lengo la umbea huu ni kwamba huyu bwana wa dakika robo kila siku namuona na mchepuko mpya .najiuliza? Anawafanya nini?
Kichwa cha habari na maelezo havirandan...
Kibamia na upungufu wa nguvu za kiume mambo mawili tofauti
 
Back
Top Bottom