Jirani yangu ana kibamia Ila ana michepuko

Mke mvuta bangi basi kazoea kukwanguliwa kwa nguvu ndo maana anamdharau mumewe

Na jamaa ili kuonyesha ana uwezo kuliko dharau za mke ndo kaamua kuleta michepuko ya kila aina kukomesha dharau
Ni kweli kabisa na sababu alizompa ni za kujisafisha tu jamaa atakua yupo vyema.
 
Hamna wanaume malaya kama wenye vibamia yaani wanaruka ruka mno kama popcorn!sijui ndo wanakosaga confidence na maumbile yao?btw naye si amvutishe bange huyo mme wake ili waende sawa?ndo kiherehere cha bora kufunga ndoa na usiyemuelewa.
 
Haya maisha ya wakubwa yana mambo mengi ya ajabu natamani niwe mtoto, mtoto ni malaika aah
 
Kumbe dada mwenyewe anavuta bange! Wacha mzee wa kibamiya achepuke tu..na aweza hana kibamia wala nini...haya mambo hayana formula..
 
Mpe mashine iliujilizishe kuwa nikweli au miyeyusho
 
Hamna wanaume malaya kama wenye vibamia yaani wanaruka ruka mno kama popcorn!sijui ndo wanakosaga confidence na maumbile yao?btw naye si amvutishe bange huyo mme wake ili waende sawa?ndo kiherehere cha bora kufunga ndoa na usiyemuelewa.
Kumbe vibamia havitulii eeh
 
Kuna Jirani yangu bwana mke wake ni Rafiki yangu kiaina.ndoa yake ina mizozo sana.mizozo hyo imesababisha mama aondoke kwasababu hakitulizi .mume nae michepuko.
Siku moja nikamuuliza mke si ukitulize tu una mume ndani? Akaniambia miss n huyu mume akiingia tu dakika nyingi keshamaliza. Mimi hapa nilishazoea ex wangu na Mimi tulikuwa tunavuta bange ndo tunaingia bed .yaani hapo dakika tisini ndo itaamua goli lipatikane hata kwa penalty au dakika za nyongeza.
Heee nikashangaa dkk tisini me mwenyewe kuku tu.

Lengo la umbea huu ni kwamba huyu bwana wa dakika robo kila siku namuona na mchepuko mpya .najiuliza? Anawafanya nini?

Ingia uone anawafanya nini
 
Kinyume cha kibamia ni nini ? kama mtu anasema mume wake kibamia, ina maana yeye ana ziwa victoria. Hiyo michepuko unayoina anayo huyu Mbaba, itakuwa na midomo ya chupa za bia ambayo haina shida kwenye kibamia.
 
Huyo kakudanganya ili usimnyemelee mme wake
Aliniambia ukweli utatamani na wewe uonje.
 
Back
Top Bottom