Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua hotspot kupitia simu yake..ili tushee WiFi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka autmatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natulia lake.

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani? Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo....sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga...nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge...lakini ngoma haikat...naona haitoshi kwa sababu password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV...Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake....heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama

Wadau...hv hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo chake ndani? Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau
Embu kadanganye chekechea,sasa kama yeye alikuwa na simu tena yenye bando,ilikuwaje asiangalie hiko kitu kwenye simu yake hadi akaamua kuwasha hot spot ili aangalizie kwako,kwenda huko
 
Namimi nina mizigo yangu ya kushusha ngoja nifanye kama nakuja kukutembelea nakuja na laptop kabisa nina mizigo kama minne hivi yote gb 50+😀
 
Hamna kitu, nimeuliza kwa vile umesema unawajali wanawake wako...means hayuko mmoja

Okay, ni lugha gongana tu madam, nilikuwa nikitaka kumaanisha "wanawake wangu" niliokuwa nao kwa kipindi tofauti tofauti.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Ni mmoja tu kwa sasa madam, why??

Let's meet at the top, cheers 🍻
Ni mmoja tu kwa sasa madam, why??

Let's meet at the top, cheers 🍻
Hamna kitu, nimeuliza kwa vile umesema unawajali wanawake wako...means hayuko mm
Okay, ni lugha gongana tu madam, nilikuwa nikitaka kumaanisha "wanawake wangu" niliokuwa nao kwa kipindi tofauti tofauti.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Ooh sawa
 
Wazee wa kitonga,mtelezo,Ganda LA ndizi,Free WiFi,free boat,Free mandela
 
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua hotspot kupitia simu yake..ili tushee WiFi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka autmatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natulia lake.

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani? Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo....sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga...nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge...lakini ngoma haikat...naona haitoshi kwa sababu password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV...Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake....heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama

Wadau...hv hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo chake ndani? Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau
Hii ndio maana ya ....
"Never trust anybody."
 
siku hizi kuna makampuni yana unlimited internet, wanakupimia speed tu ya Mbps...

Unlimited speed of 3 Mbps at 120,000/= TZS Per Month

Unlimited speed of 5 Mbps at 190,000/= TZS Per Month

unlimited speed of 6 Mbps at 220,000/= TZS Per Month

Unlimited speed of 10 Mbps at 293,820/= TZS Per Month
 
Tell us more hapa mkuu
Kampuni Yani hizo ? ?
 
Wanawake wanaakil sana alijua jins gan unavyo angaika juu ya bando ndio mana alikuja kwako kukuomba a tumie kwako usidhan ye ajui hosprt inazimiwa wap mzee anakusaidia tu sema ww ndio umeshndwa kua muungwana kwenda kushukuru
 
We unadhan akuonagi kama umeconnect? Au unadhan yy pimbi? 😂 Hapo anakuachia tu kimtindo anajua huwez kujimudu kwenye upande wa internet
 
Nimegundua una tv na laptop

Sasa huo ushauri unaoomba unataka tukushaurije?

Jf imeingiliwa na watoto sasa
Lengo halikuwa kuelezea nina nn?...Mbn hvy vitu vya kawaida mkuu? Content ni kifurushi cha Internet
 
Embu kadanganye chekechea,sasa kama yeye alikuwa na simu tena yenye bando,ilikuwaje asiangalie hiko kitu kwenye simu yake hadi akaamua kuwasha hot spot ili aangalizie kwako,kwenda huko
Kuna Application ilikuwa Installed kwenye simu yangu, na ili kuanza kufanya kazi ina process ndefu kidogo dats why akaitumia nkupitia simu yangu.
 
siku hizi kuna makampuni yana unlimited internet, wanakupimia speed tu ya Mbps...

Unlimited speed of 3 Mbps at 120,000/= TZS Per Month

Unlimited speed of 5 Mbps at 190,000/= TZS Per Month

unlimited speed of 6 Mbps at 220,000/= TZS Per Month

Unlimited speed of 10 Mbps at 293,820/= TZS Per Month
Ww ndio umenisaidia sasa...wengine wote wanapuyanga tu
 
We unadhan akuonagi kama umeconnect? Au unadhan yy pimbi? Hapo anakuachia tu kimtindo anajua huwez kujimudu kwenye upande wa internet
Niko na kipato kizuri nahisi kuwazid wapangaji wengine tuliopo hapo, sidhan kama anaweza kuwa na hisia kama hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom