Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
š¤£Utalipia siku 1
š¤£Utalipia siku 1
š¤£š¤£š¤£š¤£Kama ni mimi ningekuwa na aibu aisee
Nisawa na kufumba macho eti ndio unajificha, kwasababu wewe huoni basi unafikiri huonekani.Aiseee Ushamba mzigo wallah,hapoo anajiona bonge la mjanja mwenyewešš
Let's meet at the top, cheers š»
š¤£Ujue anaona kisimu chako kipo connected na hot-spot yake
Mbona imekuuma hivyo kiongozi, ni wewe nn unanunua hayo mabandle[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We andaa tu milioni 200 ya faini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa n mm?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake kawaida yao....way back kabla haya mambo ya ma mpesa na matigo pesa kuwepo nilikua na manzi tukiwa tupo tuition na vimotolora duara vyetu nlikua nimeishiwa salio nikamwambia tu mwenzio sina salio ndio maana sikujibu sms zako, akaniuliza vipi hadi saizi hauna...? Nikatikisa kichwa kuashiria sina. Akanipa simu yake akaniambia nijirushie ninayo taka.... basi kwa kuwa simu ya manzi nikajikadiria 250 tu nikijua labda atakua na miasaba hivi ikizidi buku.......bwana weee si ikaja ile sms na kuonesha salio lake lililo baki ndio siku nilio jua sijui salio lilikuja elfu tisini na sita na pointi zake......hahaha mimi sio fala nikarusha muda wa elfu arobain na kumpa simu yake akaangalia salio na kutabasam huku akiniambia unajichukulia tu....! Kwa udogo wangu sikuelewa hii statement......ila law sasa manzi akikwambia we unatumia tu au unajichukulia tu....hahahaha wewe jua tu unakula vya wanaume wenzio
Umekula lakini mkuu?[emoji4]Yes, I'm very responsible man, nanunulia wanawake zangu bundles, na mahitaji mengine muhimu.
Kama hutojali unaweza ukajoin nikakununulia pia, naona ndio style zako kupenda vya bure.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Usiache kutembea na KYHabari za muda huu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.
Basi akaniambia nisijali, akafungua hotspot kupitia simu yake..ili tushee WiFi aweze kupata alichokuwa akihitaji.
Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka autmatic[emoji4]
Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natulia lake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo....sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga...nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge...lakini ngoma haikat...naona haitoshi kwa sababu password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]...Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake....heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]
Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]
Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?
Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]
Wadau...hv hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo chake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?
Ushauri wenu wadau[emoji120]
Kuna utaratibu wa kulipia unlimited bundle kila mwenzi haijalishi una download kiasi gani Ila kila mwenzi unalipiaHabari za muda huu wana JF.

š¤£[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ššššškuna siku utaolewa shwaaain!
hahhahahahahaaUsiache kutembea na KY
Coz hujui siku wa saa