Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Kama una taarifa za siri basi huyo demu anakudukua...
Kila unapokuwa connect naye basi hapo umempa full access na simu yako au computer.
Be careful watu wa vitengo upande wa IT wako vizuri sana.

Ila kwanini umekuwa mlaini hivyo kwa hackers kutumia njia laini kukupata kirahisi hivyo?
Mtongoze ule na mzigo kabisa.
 
Kama una taarifa za siri basi huyo demu anakudukua...
Kila unapokuwa connect naye basi hapo umempa full access na simu yako au computer.
Be careful watu wa vitengo upande wa IT wako vizuri sana.

Ila kwanini umekuwa mlaini hivyo kwa hackers kutumia njia laini kukupata kirahisi hivyo?
Mtongoze ule na mzigo kabisa.
Duuh...aniduke kwa lipi boss?[emoji848]
 
Duuh...aniduke kwa lipi boss?[emoji848]

Kama hauna shughuli yoyote ya siri katika computer yako au simu.
Au kazi unayofanya haiusiani na nyaraka nyeti...basi ondoa shaka.
Ila kama ni tofauti... Huyo binti hacker
 
Huo Ni umario....na matumizi mabaya,wewe ufai kuwa serekalini utatumia Mali ya Uma vibaya
 
Wewe utakuwa ni mwanafunzi na unaishi Dar, watu january to Dec. hatukumbuki nilizima lini data
 
Wewe utakuwa ni mwanafunzi na unaishi Dar, watu january to Dec. hatukumbuki nilizima lini data
Hatuzimi kwa sababu ya kusave data lahasha tunazima kwa sababu ya save charge...kwa hiyo usikariri
 
Simply, kuna wanaume wenzako hapo wanajipinda mgongo kuhakikisha mtoto wa kike hakosi huduma ya internet.

Wakati huo kijana wa kiume unafurahia kitonga tena kutoka kwa mtoto wa kike kuna siku utaolewa shwaaain!

Let's meet at the top, cheers [emoji482]

Ha ha ha kweli aisee kuna siku atapakatwa huyu!
 
Sio bando la internet tu....hata pochi zao huwa hazikaukagi wadada wa mjini...hapo ally katuma gb kadhaa,jose katuma cha wiki,mwingine,frank katuma bando la usiku,john kamuungia monthly gb10.....bado sie wengne anayetupiga vya buku buku...yaan we acha tu
😂😂😂😂
 
Siku atakuunga kwenye ile hot-spot nyingine uje utusimulie pia tukushaur kabla
 
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua hotspot kupitia simu yake..ili tushee WiFi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka autmatic[emoji4]

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natulia lake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo....sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga...nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge...lakini ngoma haikat...naona haitoshi kwa sababu password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]...Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake....heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]

Wadau...hv hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo chake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau[emoji120]

Nimegundua una tv na laptop

Sasa huo ushauri unaoomba unataka tukushaurije?

Jf imeingiliwa na watoto sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom