Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Unatutia aibu mtoto wa kiume 😡
Mpenda cha bure....
Ila subiri bill yake, shauri yako...usiseme hatujakushauri...
Achen kuongea upuuzi, mnaujua uchumi wangu? Sishindwi kujiunga hata bundle la mwaka ila nilitaka tu kujua ni aina gani ya kifurushi anatumia[emoji55]
 
Mkuu yaan ww ni boya wa kiwango cha lami aisee,,yaan unatumia bando walilonunua wanaume wenzako ww unachekelea tu dadeq[emoji84][emoji35]
 
Usi complicate mambo umepata fursa tumia mpaka pale itakapofikia mwisho.

Kuna wakati mtu hupata hii bahati ila unaamua kuwashirikisha wachawi wakupe ushauri ?
 
Mkuu yaan ww ni boya wa kiwango cha lami aisee,,yaan unatumia bando walilonunua wanaume wenzako ww unachekelea tu dadeq[emoji84][emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulitaka nilie?
 
Yes, I'm very responsible man, nanunulia wanawake zangu bundles, na mahitaji mengine muhimu.

Kama hutojali unaweza ukajoin nikakununulia pia, naona ndio style zako kupenda vya bure.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Mla bata una wanawake wangapi?
 
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua hotspot kupitia simu yake..ili tushee WiFi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka autmatic[emoji4]

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natulia lake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo....sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga...nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge...lakini ngoma haikat...naona haitoshi kwa sababu password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]...Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake....heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]

Wadau...hv hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo chake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau[emoji120]
Kawaida , kuna baadhi ya kampuni zinajali wafanyakazi, hapa natype nina zaidi ya 100k vocha so huwa simalizi hata nishinde youtube kila siku
 
Kawaida , kuna baadhi ya kampuni zinajali wafanyakazi, hapa natype nina zaidi ya 100k vocha so huwa simalizi hata nishinde youtube kila siku
Hata mm nahisi hivyo, sijui huyu dada anafanya kazi gan, ila mara kadhaa na namuona anatoka asubuhi kwenda kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom