Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Upuuzi huu...

Dada wa watu kajinyima huko,...kanunua bando walau limsaidie kwa matumizi yake mbali mbali,..

Halafu dume zima limekaa kwenye kochi miguu juu, linachekelea mtelelezo wa ganda la ndizi.

Rubbish!..
 
Achen kuongea upuuzi, mnaujua uchumi wangu? Sishindwi kujiunga hata bundle la mwaka ila nilitaka tu kujua ni aina gani ya kifurushi anatumia[emoji55]
Wewe ni kichaa kweli ..sasa kama unataka kujua si unamuuliza mwenyewe? Wee sema tu unateleza huna ela ya bando [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu vip bado unakula mserereko hadi leo na hili ongezekola gharama za vifurushi??
 
Nipo humu tangu 2011, lakini sijui kama wewe ni mfanyabiashara. Umetumia kigezo gani kujihisi wewe ni maarufu sana jf mpaka kila mtu akujue wewe ni nani?

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Sio bando la internet tu....hata pochi zao huwa hazikaukagi wadada wa mjini...hapo ally katuma gb kadhaa,jose katuma cha wiki,mwingine,frank katuma bando la usiku,john kamuungia monthly gb10.....bado sie wengne anayetupiga vya buku buku...yaan we acha tu
a hahaha hahahaha
 
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua Hotspot kupitia simu yake..ili tushee Wi-Fi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka automatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natumia bundle lake

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo. Sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge lakini ngoma haikatiki aona haitoshi kwa sababu Password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa Laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]

Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]

Wadau hivi hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo kake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau[emoji120]
Madem jinsi walivyo na mioyo ya tofauti. Yani huyo kuna siku anaweza akakutunuku papuchi ilimradi apate chance ya kukutia kidole.
 
Hivi mtu akitaka kujiunga na wewe hauhitaji kuaccept? Isijekuwa anakuacceptia kiroho safi ukajua unaiba kumbe kakuona mshamba tu

Pili, kama alijiunga na simu ina maana ukitumia pia pc inajiunga utafikiri hizo devices mbili ziliwahi kuwa connected?

Tumepigwa
 
Amekudharau tu na kukuacha utumie, cos anaona simu yako ikiwa connected........Pole sana kama unadhani haoni
 
ni wapi mkuu nami nije uniunge tucheki hiyo 4g wote!ni ushauri wangu tu tukiona haikati bando tutamuuliza maujanja gani anafanya
 
Huyo ana post paid, TTCL wanayo unalipia sh
30,000 tu kwa mwezi, unatumia upendavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom