Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
941
1,847
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua Hotspot kupitia simu yake..ili tushee Wi-Fi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka automatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natumia bundle lake

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani? Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo. Sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge lakini ngoma haikatiki aona haitoshi kwa sababu Password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa Laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV

Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama

Wadau hivi hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo kake ndani? Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau
 
Simply, kuna wanaume wenzako hapo wanajipinda mgongo kuhakikisha mtoto wa kike hakosi huduma ya internet.

Wakati huo kijana wa kiume unafurahia kitonga tena kutoka kwa mtoto wa kike kuna siku utaolewa shwaaain!

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Sio bando la internet tu....hata pochi zao huwa hazikaukagi wadada wa mjini...hapo ally katuma gb kadhaa,jose katuma cha wiki,mwingine,frank katuma bando la usiku,john kamuungia monthly gb10.....bado sie wengne anayetupiga vya buku buku...yaan we acha tu
 
Simply, kuna wanaume wenzako hapo wanajipinda mgongo kuhakikisha mtoto wa kike hakosi huduma ya internet.

Wakati huo kijana wa kiume unafurahia kitonga tena kutoka kwa mtoto wa kike kuna siku utaolewa shwaaain!


Let's meet at the top, cheers
Mbona imekuuma hivyo kiongozi, ni wewe nn unanunua hayo mabandle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom