Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

Mtanzania utamjua tu... yani mbongo tayari ashaanza uchawi,kupekua pekua kuchunguza visivyomuhusu, alafu badala atumie bundle ufanya vitu vya maana anatumia kwa kukomoa... ukajikuta unakomolewa wewe... Sasa umepanick mpka unaleta huu uzi huku ili iweje? kama anaiba, anaweka bundle kwa hela zake we inakuhusu nini... haya wakimfwatilia akafungiwa we utafaidika nn? wabongo tubadilikeni jamani ni nani aliyetuloga sisi? mtu hana hata shida na wewe unaanza kumtafutia kwanini yeye apate... weka na wewe bundle lako, kama ni ujanja ujanja tafuta wakwako
 
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua Hotspot kupitia simu yake..ili tushee Wi-Fi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka automatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natumia bundle lake

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo. Sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge lakini ngoma haikatiki aona haitoshi kwa sababu Password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa Laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]

Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]

Wadau hivi hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo kake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau[emoji120]
Ukute anachunguza data zako
Kwenye devices zako unapo connect
 
[/QUOTEUshariwe kuhusu nini mwivi mmoja wewe 🤦🏽‍♀️
 
Siyo kwamba hajui kwamba unatumia bundle yake.anajua na anaona hata sites unazoperuzi.sema kunakitu anakitafiti.kwa sababu anaweza acess simu yako akaangalia hata wasap chats zako.anskuchora tuu
 
utalipia siku moja wewe chekacheka tu kishoga
 
Huyo jirani ni ke au me? Jitahadhali jombaa ipo siku utazilipa tu GB
 
Huyo pengine anatumia postpaid service so bill wanamcharge mwishoni!
Ataenda lalamika huko invoice ikija na bill isiyoeleweka....watamuonesha matumizi yote.
Unatia aibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ha
Habari za muda huu wana JF.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.

Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa bahati mbaya kifurushi cha data kilikuwa kimeisha.

Basi akaniambia nisijali, akafungua Hotspot kupitia simu yake..ili tushee Wi-Fi aweze kupata alichokuwa akihitaji.

Sasa kama Mjuavyo kama mtu alijuunganisha kama hajapadili password kila akiwasha hotspot kama simu yako ipo karibu ina funguka automatic

Kakawa kamchezo kangu nikirudi nyumban ka WiFi kaki funguka hata kama nina bando natumia bundle lake

Kilichonishangaza na kuniumiza kichwa huyu manzi anawekaga bando la kiasi gani?[emoji44] Nilivyo katili huwa nakuwa YouTube kucheck mavideo. Sasa weekend siku ambazo napumzka gheto, ndio nilipagawaga nacheck mavideo since morning mpk simu ikakata charge lakini ngoma haikatiki aona haitoshi kwa sababu Password yake alinitajia na ni rahisi, nahamia kwa Laptop yani mpaka najisahau nahisi naangalia TV[emoji848][emoji26]

Nikaanza kamchezo cha Ku download movie's usiku nikiwa nataka kulala ili nione pumzika yake heeee nilianza 2, asubuhi nakuta zimemaliza na ngoma bado ipo online[emoji86][emoji849][emoji53][emoji1781]

Juzi ndio balaa kabisa nime select movies 10 nazote zimemaliza tena zenye resolution kubwa 1080HD[emoji44][emoji26]

Sasa nataman kumuuliza jirani huyu...ni kaujanza gani huwa Anafanya? Au hilo bando ananunulia wapi na mm nikanunue?

Hazimagi data, ila naogopa asije akabadili password [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikakosa utelez wa ganda la ndizi. Yan now nikifika home nikamkosa nasononeka kinyama[emoji44][emoji44][emoji44]

Wadau hivi hii ishu imekaaje? Usikute jirani anakamtambo kake ndani?[emoji849] Na speed ya mtandao ni 4G non stop?

Ushauri wenu wadau[emoji120]
Hapo kwa mawazo yako unafikiri umemkomoa Sana kumbe unajitia uzembe tu..
 
mtongoze!, sio kua hajui anajua na anakusubiri mkuu
 
"Hakuna asiye jua" huku kama mm ni mfanyabiashara labda kama umekuja JF Leo, sina njaa kiongozi...narudia tena sina njaa.[emoji4]

Nipo humu tangu 2011, lakini sijui kama wewe ni mfanyabiashara. Umetumia kigezo gani kujihisi wewe ni maarufu sana jf mpaka kila mtu akujue wewe ni nani?
 
Siyo kwamba hajui kwamba unatumia bundle yake.anajua na anaona hata sites unazoperuzi.sema kunakitu anakitafiti.kwa sababu anaweza acess simu yako akaangalia hata wasap chats zako.anskuchora tuu
Sio kirahisi namna hiyo
 
Ameamua tu kukukaushia..
vya bure vgharama
 
Achen kuongea upuuzi, mnaujua uchumi wangu? Sishindwi kujiunga hata bundle la mwaka ila nilitaka tu kujua ni aina gani ya kifurushi anatumia[emoji55]
Mh... Ungekuwa na uchumi mzuri ungekuwa unasononeka siku ukimkosa hapo unapoishi naye, Kwanza umesema unaogopa kumuuliza utakosa mteremko... [emoji848][emoji849]
 
hawa ndugu zetu ni noma kuNa pisi moja ya chuo iliniomba nimuunge kifurushi cha siku 2000 NIKASHANGAa sana, yaani mk kwa wiki 1500 yeye anaweka Siku 2000 na n mwanafunzi , mwingine mdada wa mjini aliniambia yeye ana matumizi sanaaa nikamuuliza ebu nipe mchanganuo vocha tu 10000 kwa siku
 
Sio bando la internet tu....hata pochi zao huwa hazikaukagi wadada wa mjini...hapo ally katuma gb kadhaa,jose katuma cha wiki,mwingine,frank katuma bando la usiku,john kamuungia monthly gb10.....bado sie wengne anayetupiga vya buku buku...yaan we acha tu
kha 😂 😂 😂
 
Aibu nimeona mimi kwa kweli.
Yani mwanamme mzima unajisifia kwa kuibia internet ya mwanamke! Dah tumebaki wachache sana wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom