Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

DSTV CCcam account SAT1

  • Support all super sports channels: ss1,ss2,ss3,ss4,ss5,ss6,ss7 & ss9
  • Support all movies channels
77afuor5m8o968vi8b7w.jpg
 
thanks bro. nime upgrade jion hii. nina imani itakua stable zaidi
  • Kukiwa na update yeyote nitawawekea hapa
  • kARIBU
 
Update
  • Mzigo mpya wa Qsat Q23G umewasili leo,
  • Wahii sasa QSAT DECORDER + 3 MONTH CCCAM kwa TSH 295'000 TU
  • Contact MWL.RCT # 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41 / 0784 496 856
rfvgx8gaccdc0ridad0s.png

  • NB: Kwa Waliolipia order zao nawatumia siku ya Jumanne
 
Update

>> Sasa zinapatikana DSTV Azsky G1 & azsky G2 Account

>> Account ni ya miezi 6

>> Na utalipi TSH 35'000/ TU

>> Call /whatsapp Mwl.RCT # +255 (784) 496 856

KUJIFUNZA ZAIDI jinsi ya Ku_renew Account yako |> Click Haya Maandishi |
 
Kwa hitaji la Qsat Q23G HD satellite FTA receiver
Pia kwa hitaji la 3 Month CCCAM Acoount
Wasiliana Nami kwa sms/Call/WhatsApp # +255 784 496 856
Email: mw1rct@gmail.com

---------------------------------

plvtewhdbhnb95c70hm7.jpg

BASIC INFO.

  • Model: Q-Sat Q23G
  • 1080P Full HD PVR: Support
  • GPRS: Yes
  • 3G: Yes
  • IPTV: Yes
  • Patch: Support
  • Youtube/Youpron: Yes

  • Function: LAN+WiFi+Youtube+Youporn+IPTV+(Inner GPRS)
  • Open more than 200 pay tv channels
  • Suppport CCCam [Stable], newcam, mgcam & Avatarcam [Not Stable] [Default Accont]

TECHNICAL SPECIFICATIONS

  • Full HD 1080P
  • Fully DVB-S2/MPEG-4/H264 Decoder.
  • 8000 Channels memory space (TV+Radio)
  • 32bit colors on screen display supported
  • Support SW Upgrade via USB, FTP and OTA
  • Frequency Range 950-2150MHz
  • S/PDIF Interface for digital stream out(AC-3)
  • 2×USB2.0 for Multimedia
  • Supports DiSEqC1.0/1.1/1.2 and USALS
  • Multimedia play back.
  • 10/100Mbit Ethernet Interface
  • Video Comperssion MPEG-2 and MPEG-1 compatible,MPEG-4,H.264 Videotexe Decoder
  • Letterbox for 4:3 TV-Device
  • Audio compression MPEG-1&MPEG-2 Layer Iand II,MP3 Audio Mode Dual (main/sub),stereo
  • Support Movie format:MPEG-2,MPEG,TS steam,AVI Divx, Divx Plus,QuickTime.MKV,ASF Microsoft
  • ISO MPEG-4 Video Codev1
  • Support Music format:WAVE MP3,ASF,AAC
  • Support Photo format:JPEG BMP PNG GIF TIFF
  • Support YouTube,YouPorn,N32 Game Yupoo,Picasa Flickr,Google map,Yahoo Weather and Online dictionary
  • DLNA,Sat to IP,Multi-screen interation
SCREENSHOT
MsMTmN
BEI YAKE

  • Qsat Receiver + AvatarCam HD [1 year Account] = TSH 250'000
  • Qsat Receiver + AvatarCam HD [1 Year ] + CCCAM Account[ 3 Month ] = TSH 295'000
JE UTAIPATA VIPI?

  • Kwa wakazi wa Dar utapewa maelekezo wapi kwa kuchukua qsat yako,
  • Utapewa Fundi wa kukufungia Dish kwa TSH 40'000 [Kama utahitaji ]
  • Kwa wadau wa Mikoani - Mzigo utatumwa kwa Basi au EMS wewe utatoamwongozo njia ipi itumike
HUDUMA NYENGINE

Kwa watumiaji wa cccam, wakati wowote ukipata tatizo

  1. Angalia internet connection kama ipo active/ inactive Bonyeza Menu >> Settings >> Ethernet Config >> Config >> Link /Shut Down
lGnPkb
2. Anaglia status ya CCCam account je ipo Connected / Disconnected

80wPRh
KARIBU

Shukrani kwa huduma zuri kwa wateja wako, account yangu ilikata ghafla nilipokwambia hukusita kunipa msaada,iliposhindikana ulinipa account nyingine ya cccam bila malipo ya ziada.
 
Mimi nawachukulia hawa jamaa ni matapeli wakubwa waliopitiliza,wasanii wenye id nyingi kujisifia.
 
Waku super sport 3. Inakamata name hii dec
 
Waku super sport 3. Inakamata name hii dec
  • Kwa Sat1 CCCAM na Pia Tv1 CCCam ss3 inafunguka bila shida.
  • Na kwa sasa Super Sport channel zote zipo stable.
  • Karibu
 
Mimi nawachukulia hawa jamaa ni matapeli wakubwa waliopitiliza,wasanii wenye id nyingi kujisifia.
  • Habari yako ndugu lolowapi
  • Hii kauli yako ni nzito mkuu, wadau wengi wangependa kusikia zaidi kutoka kwako na kujifunza, Ili wasijetapeliwa
  • Je ni nani aliyekutapeli? Umechukua hatua gani?, Je uonmgozi wa JF wamepeta malalamiko yako kuhusiana na huyo aliyekutapeli?
  • Karibu ndugu ! ninapenda kujifunza zaidi funguka tafadhali kwa manufaa ya wengine pia
Ni hakika mimi na wewe ndio ndio chachu ya mabadiliko hapa JF na kupatafanya sehemu iliyobora ya kuuza na kuuziana kwa uaminifu zaidi, Au kutoa huduma

Ndugu lolowapi Pitia hizi link ili kujifunza na kuona huduma zangu zingine.
KARIBU
 
Last edited by a moderator:

Mwl crt kuna mtu anaitwa munjy aliniuzia account ya cccam imefanya kazi siku tatu tu.ya miezi mitatu kwa 90,000 kila ukimpigia ni story nyingi ,na almost nyinyi wote mmekaa kitapeli laiti ningekua owner wa jf ningepiga ban wote nyinyi.
 
Last edited by a moderator:
Naunga hoja

Mwl crt kuna mtu anaitwa munjy aliniuzia account ya cccam imefanya kazi siku tatu tu.ya miezi mitatu kwa 90,000 kila ukimpigia ni story nyingi ,na almost nyinyi wote mmekaa kitapeli laiti ningekua owner wa jf ningepiga ban wote nyinyi.

- Angalia comment #91 hapo juu

- Kuna kitu cha kujifunza

- Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom