- Ni kweli "scramble time all the time" hii kwa account ya AVATARCAM
AVATARCAM ACCOUNT
- Ni default account, na huwa ni ya mwaka mmoja
- Haiko stable kutokana na servers kuwa down muda mwingi
- Avatar Inatumia server ya kichina - tofauti na cccam ni server za USA
HIVYO ILI KUFURAHIA CHANNEL ZOTE
- Pata accouny ya CCCAM
- Utalipia kila baada ya miezi mitatu(3)
- Kumbuka hii cccam inatumika katika receiver zingine mfano STRONG STR 4922A, inatumika pia bara ulaya na malekaniu, just google CCCAM utaona habari yake
Kumbuka q23g imetengenezwa itumie IPTV, CCCAM, MGCAM, NEWCAM, pamoja na hiyo AVATARCAM ambayo ipo down
- Call/sms/whatsaoo 0784 496 856 upate account yako ya CCCAM sasa
- ​KARIBU