Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,703
- 22,583
- Thread starter
- #41
Utalipia tena baada ya miezi mitatu kwa account ya cccam.so nikiwa na dish la dstv nitalipia 285'000 na itachukua muda gani ili nilipe tena?na nitalipia sh.ngapi?na wapi nitakuwa nalipia?....
Nitakupa namba za kufanyia malipo.
Karibu