Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 486
umejuaje kama dstv waki upgrade server hivi vidude ndio vinaganda? umesoma iks na general card sharing the way it works?kwa upande wa bei tu nakubaliana na wewe upo chini sana,ila kiukweli hizi account za AVATAR,CCCAM na nyinginezo zinasumbua kwa sasa,kwa sababu hawa DSTV wana-upgrade saver zao baada ya kuona kuna mchezo mchafu unafanywa na wachina,sema tu team ya QSAT bado ipo chumbani kuja na njia sahihi ya kupambana na hili la channels ku-freeze
tatizo wachina wana tamaa ya fedha zaidi kuliko huduma. wanauza account nyingi kuliko uwezo wa server zao. hivyo server zao zimekuwa overloaded. unless upate account yenye c line ambayo haijakuwa shared kupindukia mbona uta enjoy. lakini huipati server hiyo labda isiwe ya kichina.
Jaribu kusoma kuhusu c-line na d-line in relation to cardsharing...... utaelewa nini nasema