Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

M Nina DSTV nataka uni connect humo nizione
 
Thanks mwl rct much appreciation for your support.sasa iko fresh hope huyu ndio mtu pekee anayetoa msaada bila kinyongo.
 
Ok, asante. Q13g na Q23g zinatofautiana nn maana naona specs zake ni zilezile?
N.b: Ucnichoke ni ktk kutaka kuelewa mkuu.
  • Q13 na Q23 ni matoleo mawili ya kampuni moja
  • Zote zinafanya kazi kwa kutumia account zinazofanana yaani avatarHD na Cccam
  • Q13 ilitangulia kutoka na hii Q23 ni toleo la hivi karibuni zaidi
Tofauti

  • Q13 huja na menu ya DQCAM wakati hii Q23 haina dqcam
  • Q23 ina latest update upandewa hardware na software hivyo kuwa na stabilitynzaidi ukilinganisha na Q13
  • Hakuna production mpya ya Q13 wakati Q23 zinaendelea kutoka. Zaidi ya software updates
Karibu
 
Sasa nimeelewa vizuri sana asante Mkuu.
 
Jumla ni 295'000 tu

Utapata QSAT Q23G + AVATAR ACCOUNT YA MWAKA MMOJA + CCCAM ACCOUNT ya miezi MITATU

Karibu

So unataka niambia all what i need ni laki tatu tuu?! Niweke the HD satelite?! Na je ntaweza kuunganishiwa TV mbili au tatu tofauti?? Na kama ndio ntahitaji kuongeza nn
 
  • Ndio, ni kiasi cha 295'000 tu
  • Unapata QSAT Q23G HD receiver + 1 Year avatarcamHD account + 3_Month CCCAM account
Kama hauna dish basi ongeza hizi ghalama
  1. Dish dogo + LNB tsh 50'000
  2. Ghalama ya Fundi tsh 40'000
Karibu sana
 
Mwl, Hio recever moja inaunga tv ngap
 
Mwl, Hio recever moja inaunga tv ngap
  • Kwa kutumia RF out, waweza unga tv ya pili
  • Ila hii ya pili haitokuwa na access ya receiver moja kwa moja, itaonyesha picha/channel ambayo TV ya kwanza inaonyesha
  • KARIBU
 
Okay ntegemee mwez huu unaotarajia kuanza. As long as unanihakikishia kuwa zinaonesha superspot chanel zote
 
Mkuu Mwl.RCT

Honestly speaking, nimevutiwa sana na haya maelezo but unfortunately, sijaelewa vizuri hii product. I am afraid maelezo yako yana-cater wale wenye ABC ya haya mambo lakini kwa mtu ambae ndo kwanza amekuta hii mada na yupo outdated, basi nadhani atakuwa hajafahamu vizuri this all things!

Nimeipenda hii bidhaa... lakini je, unaweza kuongea machache as if mzigo ndo unaupeleka mara ya kwanza kijijini ambako watu hawana uelewa mkubwa na masuala ya teknolojia lakini wapo more interested. Nimeshatumia FTA kwa muda mrefu sasa lakini hapa naona ni kama FTA ninayoifahamu mimi ni tofauti kabisa na hii makitu.

Your time please, I am sure wapo watu wengi sana humu jamvini ambao hawajaielewa sawa hii kitu lakini kwavile michango ya wote wanaonekana ni waelewa, basi inahitaji ujasiri kidogo mtu kukubali kwamba ni wewe peke yako ndie kilaza!!

Thank you in advance.
 
Last edited by a moderator:

  • Pls Angalia PM
 
Update

BEI ZA ACCOUNT KWA SASA [ Kukiwa na Mabadiliko ya bei nitaweka Update hapa ]

AvatarCam HD [Acamhd] = TSH 80'000 kwa mwaka 1

Dstv Tv1 CCcam & Dstv Sat1 CCcam = TSH 65'000 kwa Miezi mitatu (3)

Dstv Tv1 CCcam & Dstv Sat1 CCcam = TSH 90'000 kwa Miezi Sita (6) Not Available

DQIPTV Account =TSH 25,000 Kwa Mwaka (1)

AZSKY Account 35'000 Kwa Miezi 6
 
Update
  • Tv1 Server 6_Month CCcam Account kwa sasa hazitolewi hivyo hazitouzwa tena
  • Zitaendelea kuuzwa 3_Month CCcam account tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom