Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Kiukweli huyu mwl crt uwongo ni sehemu ya biashara yake,humo kwenye uwongo ndio anapopata hela.

Uongo upi?

Je umesoma comment zilizotangulia?

Kweli kazi ipo!

Karibu
 
nauliza kuna cccam acount inayofungua PAY TV ZA 25.5E AU 7.0W SHUKRANI
 
Avatacam HD inafungua ss3 na je inaweza kukaa kwenye Speed HD S1
 
  • Hakuna kwa sasa
  • Karibu

ahsante mkuu maana hapa nilimanisha zile chanal za beinsport hususan za english kwa maana hiyo hakuna kingamuzi cha magumashi au hizi acount za wachina zinaweza kufungua hizi channel kama sio decorder yao official
 
ahsante mkuu maana hapa nilimanisha zile chanal za beinsport hususan za english kwa maana hiyo hakuna kingamuzi cha magumashi au hizi acount za wachina zinaweza kufungua hizi channel kama sio decorder yao official
Jaribu IPTV, huwa wana BEINSPORT na channel zingine nyingi za michezo

Karibu
 
Mbona hiyo IPTV kwenye Speed HD haifunguki,tena siyo IPTV tu bali na you tube nayo vilevile haifunguki
>> Angalia internet connection>> Iwe ni 3GIPTV>> Kwa sasa ili ufurahie IPTV ni vyema ukawa na ANDROID TV BOX [itafute hapa aliexpress.com ]>> Hapo utapata BEINSPORT pamoja na channel zingine zaidi ya 600
 
>> Angalia internet connection>> Iwe ni 3GIPTV>> Kwa sasa ili ufurahie IPTV ni vyema ukawa na ANDROID TV BOX [itafute hapa aliexpress.com ]>> Hapo utapata BEINSPORT pamoja na channel zingine zaidi ya 600

Kama ni suala la 3G hiyo haina shida,labda hiyo unayosema ANDROID TV BOX ambayo sijui nini.Lakini ngoja niifuatilie kwenye hiyo link uliyonipa.
 
nmejipatia account ya avatarcam miez 6, asubuhi ikikuwa inafreez freez ila toka mchana inablaze with no single freeze.Hapa naangalia west ham na man u s5 ila s3 haishiki max 1 inashika . shukrani sana mwalimu maana nilkuwa najiuliza ntatokaje Usk kwenda kuangalia mpira wakati mbwa wa mwenye Nyumba wametoka mafunzo juzi
 
  • Wakati wowote kuanzia 05:30Hr - 20:30Hr waweza kuwasiliana nami
Simu: 0754 496 856 / 0717 545 762
Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496 856

coollogo_com_14655442.png



 
Ni TSH 45'000 kwa miezi sita.

Mawasiloano:-
>> TiGo 0717 54 57 62
>> AirTel 0784 496 856

KARIBU

Mwl, Weka bei unayouza sasa account ya Avatorcam ya miezi 6,najua uliniambia imepanda kwa asilimia 100,kama niko sahihi,ushauri tu.ili iwe faida ya wote
 
Mwl, Weka bei unayouza sasa account ya Avatorcam ya miezi 6,najua ulimiambia imepanda kwa asilimia 100,kama niko sahihi,ushauri tu.ili iwe faida ya wote

Ni kweli kuanzia wiki hii bei ya avatarcam accounts wachina wamepandisha kwa asilimia 100.

Kwa sasa utapata Avatarcam kwa tsh 65'000 kwa muda wa miezi sita.

Badala ya bei ya awali ya tsh 45'000

NB: Wakati wowote nikipata punguzo la bei nitawawekea update hapa ya bei mpya.

QSAT Q26G
Bei ya kiwandani wameongeza pia. Tofauti na bei ya awali.

Sitobadili hii bei niuzayo sasa mpaka stock iishe.

Mzigo mpya ndio utakuwa na bei mpya kutegemeana na bei ya kununulia, kusafirisha na ushuru nitakaoripa TRA

KARIBU
 
Mwl RCT habari,
1. Naomba kueleweshwa kidogo kuhusu kitu kinachoitwa DQCAM na ni nini tofauti yake na AvatarCamHD, Cccam{TV1,A1,Bestcam} maana mimi naiona tu kwenye Q13G yangu ila sijui matumizi yake.
2. inaonesha channeli zipi na unaiiuza kama jibu ni ndio unaiuza bei gani?
3. Je, inawezekana ukawa na acc mbili za Cccam na ukaweza kuweka DQCAM na zikafanyakazi pamoja?
4. Kama unauza je yenyewe kwenye janga la ku-scramble kwasasa na ina status gani???
Natanguliza shukrani.
 
kwa wenzangu wanaoutumia avatarcam, watakubaliana na Mimi, status yake kwa sasa ni very stable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom