Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

kwa wenzangu wanaoutumia avatarcam, watakubaliana na Mimi, status yake kwa sasa ni very stable
  • Ni kweli na hakika
  • Kwa sasa avatrcam inafanya vyema SS channel zinafunguka kama ufunguavyo ITV katika FTA
  • Hakika kwa sasa AvatarCam wanarudisha heshima
postjjjjf.jpg
 
1. Naomba kueleweshwa kidogo kuhusu kitu kinachoitwa DQCAM na ni nini tofauti yake na AvatarCamHD, Cccam{TV1,A1,Bestcam} maana mimi naiona tu kwenye Q13G yangu ila sijui matumizi yake.
2. inaonesha channeli zipi na unaiiuza kama jibu ni ndio unaiuza bei gani?
3. Je, inawezekana ukawa na acc mbili za Cccam na ukaweza kuweka DQCAM na zikafanyakazi pamoja?
  • Ndio waweza kuwa na Account zaidi ya moja katika receiver moja.
  • Na zote zitafanya kazi kwa wakati mmoja bila tatizo.
  • Hivyo kwa wewe waweza weka Avatarcam, CCcam, DQCAM, DQIPTV, na newcamHD katika hiyo receiver yako
4. Kama unauza je yenyewe kwenye janga la ku-scramble kwasasa na ina status gani???
  • SpeedCam ,Avatarcam, DQCAM, DQIPTV ni account ambazo ziko online
  • Waweza kuchukua
Mwl RCT habari,
1. Naomba kueleweshwa kidogo kuhusu kitu kinachoitwa DQCAM na ni nini tofauti yake na AvatarCamHD, Cccam{TV1,A1,Bestcam} maana mimi naiona tu kwenye Q13G yangu ila sijui matumizi yake.
2. inaonesha channeli zipi na unaiiuza kama jibu ni ndio unaiuza bei gani?
3. Je, inawezekana ukawa na acc mbili za Cccam na ukaweza kuweka DQCAM na zikafanyakazi pamoja?
4. Kama unauza je yenyewe kwenye janga la ku-scramble kwasasa na ina status gani???
Natanguliza shukrani.
 
Mwl.RCT tunaomba ufafanuzi. Ni lini Acc za Cccan zitafufuka? ( Cc Njunwa wa Mavoko)
  • CCcam zote - hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuwa ni lini hasa zitarejea ONLINE kama awali.
  • Ni kuwa kazi inaendelea ya ku_restore server na pindi zoezi likikamilika basi tutapeana update kupitia huu uzi.
  • Karibu cc: nurdi
 
Last edited by a moderator:
  • CCcam zote - hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuwa ni lini hasa zitarejea ONLINE kama awali.
  • Ni kuwa kazi inaendelea ya ku_restore server na pindi zoezi likikamilika basi tutapeana update kupitia huu uzi.
  • Karibu cc: nurdi

Thanks
 
  • Je unahitaji ku_renew Account kwa ajiri ya IKS Decorder yako?
  • Je unahitaji GPRS MPEG4 IKS decorder?
  • Kama jibu ni ndio!.
  • Wasiliana nami Wakati wowote kuanzia 05:30Hr - 20:30Hr
Simu: 0754 496 856 / 0717 545 762
Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496 856

coollogo_com_14655442.png



 
BAADHI YA MASWALI NINAYOULZWA
JE INATAKIWA NIWE NA NINI ILI KUPATA PAY TV kama DST* au CANALSAT BURE ?
Inataikwa uwe na
1. Dish Lolote moja laweza kuwa dogo au kubwa la futi 6, Kama unalo dish lingine lolote linatosha, kama hauna dish dogo ni TSH 50'000, na dish la futi 6 ni tsh 90'000 -120'000

2. IKS Digital MPEG4 Receiver kama QSAT Q26G, A-ONE, SPEED HDs1 au BEST HD4U [angalia hapo juu kujua bei ya kila decorder]

3. Inatakiwa uwe na account - Kuna account ya miezi 3, 6 au mwaka. Zipo account tofauti tofauti

4.Kiasi cha MB70 cha data kwa matumizi ya mwezi mmoja


JE ILI KUPATA PAMOJA NA FTA LOCAL CHANNEL + EMANUEL TV ?
Inatakiwa Uwe na LNB mbili

Kama unadish la futi 6 tayari zote zitapangiliwa na utaweza kupata local FTA Channel na pay-tv

Kama una dish dogo, utalazimika kuongeza dish dogo la pili.

Je dish lipi ni Bora kubwa au Dogo? USHAURI KUHUSU DISH
Badala ua kununua dish ndogo mbili.

Ni vyema kununua DISH kubwa moja la FUTI 6

JE KUNA FAIDA GANI ZA KUWA NA DISH LA FUTI 6?
Utafunga LNB zaidi ya moja

Mfano una LNB tatu (3)
-LNB ya kwanza itasetiwa pay-tv mfano CanalSat
-LNB ya pili local FTA channel kupitia CBAND au KU
-LNB ya tatu utawekewa IRIB au sat nyingine yeyote.

Jifunze zaidi ufungaji wa LNB hapa>> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...amu-wa-kufunga-satellite-dishi-1-lnb-6-a.html

GHALAMA ZA UFUNGAJI DISH
Ni makubaliano yako wewe na fundi dish utakaye mpata.

Iwapo fundi atatoka kwangu bei ya ufundi kwa dish dogo ni tsh 40'000

Na iwapo ni dish kubwa moja na LNB mbili tofauti bei yake ni TSH 60'000

Hizi bei ni kwa wakazi wa dar

KWA UFUPI - HAYO NDIO MAHITAJI ILI KUPATA
  • Pay_TV for free
  • FTA Channel za kitaifa na Kimataifa

Kwa hayo maelezo yote kikubwa ni kupata MPEG4 GPRS IKS RECEIVER mfano QSAT Q26G Wasiliana nami ili kupata IKS Receiver mojawapo

MAWASILIANO
Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496856
Call/Sms: 0717 54 57 62 / 0784 496 856

PICHA KUTOKA QSAT Q26G
m_20140101000012.jpg


m_20140101000110.jpg


m_20140101000243.jpg
 
QSAT STATUS AND PERFORMANCE
Qsat is currently working and it is also currently opening major channels on dst*. As for the stability, it is bearable now compared to some four days ago. If your own qsat is not decrypting any channel currently, there could be only two things that can be wrong.


1. Maybe your internet connection is very bad, or you are using a sim card that is not currently working on qsat, Just change simcard, Furthermore, you must make sure you have the latest qsat software loaded on your qsat decoder.


2. If you are running the latest qsat software, you are using a good internet connection and yet your qsat is not decrypting any premium channel on dst*, it means your preloaded avatarcam code has expired. you must buy another avatarcam code for you to continue enjoying qsat services.


Qsat has increased the price of their six months account by 50%. I can't blame them, it is because they are currently enjoying a temporary monopoly. Very soon when other manufacturers joins, they will perform a downward review of their prices with immediate alacrity.
Chanzo
Code:
 http://www.lemmymorgan.com/updates-dogs-that-continue-to-bark-after-dstv-attack-of/
 
mwlrct_com.png

MAWASILIANO

Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496856
Call/Sms: 0717 54 57 62 / 0784 496 856
MUDA: 0530Hr - 2030Hr @ day
 
Were lolowapi utapeli wake uko wapi ss toka2010 tunafaidi we we so ukalipe170000 uone
 
mw1rct_ZAP.png

MAWASILIANO


Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496856
Call/Sms: 0717 54 57 62 / 0784 496 856
MUDA: 0530Hr - 2030Hr @ day
 
Kwa jinsi nilivyomwelewa anauliza ss1 mpaka ss9 ni lini zitakuwa hewani
  • AvatarCam daima huwa haitabiriki, wakati wowote zaweza rejea hewani.
  • Rejea hii post
Facts kuhusiana na AVATARCAM
- Ni default account ya Qsat
-Siyo stable - Na kila.mtumiaji wa QSAT analitambua.hili, NA NDIO SABABU WATUMIAJI WENGI (kama si wote) wa qsat waliweka OFF AVATARCAM na kununua CCCAM ambayo ni aghali ukilinganisha na avatarcam
- Katika matangazo yetu yote ya IKS accounts tulikuwa hatupendekezi AVATARCAM kutokana na kufahamika UDHAIFU WAKE
- Sababu tulikuwa na account bora zaidi za CCCAM

KUFIKIA TAREHE 25 FEB 2015
- Account zote za IKS decoder ZOTE zilikuwa OFFLINE
- Hakuna nwenye IKS decoder alikuwa na alternative
-Ni baada ya siku TATU (3) avatracam ikarejea hewani.

JE NINI KIFANYIKE
- Je ni.kweli kwamba tusitumie avatarcam eti kwa sababu inakata?
- Jibu ni hapana TUTAENDELEA KUTUMIA AVATARCAM mpaka pale CCCAM account zitakapo rejea
- Uzuli ni kuwa mtu ananunua Account ya avatarcam AKIWA ANAFAHAMU UDHAIFU NA MAPUNGUFU YA AVATAR na AMEWAHI itumia
- HUO NDIO UKWELI na hakuna mtu aliye elezwa uongo kuhusiana na avatarcam.

TUKO PAMOJA karibu ndugu rushanju
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom