MNAFU
Member
- Jan 16, 2014
- 99
- 24
Huu ndio upuuzi ninao uzungumza .najuta kuingia kwenye hivi vidude.
Mkuu lolowapi Haya ndo maisha. Mambo hayawezi kwenda 100% siku zote. Hata katika maisha yetu ya kawaida kuna siku unatoka home kwenda kazini unakutana na jam inayokufanya ufike ofisini saa 3 badala ya muda wako wa kawaida. Ukiuliza unaambiwa kuna njia imefungwa na inatengenezwa, itachukua wiki!! Hapo unafanyaje??? Hayo ndo maisha...
Tusikate tamaa...
Last edited by a moderator: