nurdi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 256
- 71
- Je "new password" kwa username yako imefanya kazi vyema?
Nitakujulisha jioni,jana lilirudi home late,Ahsante kwa kulifanyia kazi
- Je "new password" kwa username yako imefanya kazi vyema?
shikamoo mwalimu, nimerudia kuingiza zile data upya zimekubali sasa channel zinablaze kama moto kwenye majani makavu yaliyomwagiwa petrol
- Hongera
- Hiyo ndio cccam, Full burudani, AFCON bila chenga.
- Nasubiri feedback baada ya kumaliza siku tatu za matumizi.
- KARIBU
- Je "new password" kwa username yako imefanya kazi vyema?
- Bonyeza MENU >> NETWORK >> SERVER SETTINGS >> CCCAM >> Server Number Chagua 2 >> LOGOUT kisha Weka OFF kwenye "AutoConnect"
- Kwenye server1 hakikisha autoConnect ipo ON
- Restart Receiver. Done
- Bonyeza MENU >> NETWORK >> SERVER SETTINGS >> CCCAM >> Server Number Chagua 2 >> LOGOUT kisha Weka OFF kwenye "AutoConnect"
- Kwenye server1 hakikisha autoConnect ipo ON
- Restart Receiver. Done
Thanx brother it works 100%. Be blessed Mwl.RCT
Baada ya kuweka New password imefungua...................sasa ni makamuzi ya burudani
mwalimu naomba nisaidie trial account. Avatarcam account yangu imeexpire nisaidie trial wakt najipanga p
- Hongera
- Hiyo ndio cccam, Full burudani, AFCON bila chenga.
- Nasubiri feedback baada ya kumaliza siku tatu za matumizi.
- KARIBU
Killer Cccam mbona sijisikii tena? Au ndo kaputi !!!???
Hiyo huduma nimeipenda sana.nieleze natakiwa kuwa na nini?.maana hapa kwangu nina dstv na decoder ya strong mp4 vilevile nina mordem ya airtel sasa kipi hapo niongezee na niapishi kuna network ya 2g
- Ahsante kwa kuleta feedback, Tuko pamoja.
- Ahsante kwa mrejesho.
- Mkuu the muter habari
- Naomba utushirikishe uzuli na ubaya wa cccam baada ya matumizi ya siku Tatu ukilinganisa na account ya awali ya avatarcam. Kuwa muazi lengo ni kutoa elimu kwa wengine kuhusu cccam
- Feedback yako itakuwa ni mchango mkubwa kwa wana JF & wengine watakaohitaji kutumia cccam account.
- Karibu
Jipatie MPEG4, Full HD (1080p) Decorder - Zenye uwezo wa kufungua Local FTA Channel, CANALSAT na DSTV Bure - Bila malipo ya Kila Mwezi![]()
Aina za MPEG4 Full HD Decorder zilizopo :
>> Ina account ya mwaka mmoja ya TV1 CCcam [Server 1] inayofungua Channel za DSTV Eutelsat 36E |Channel Line-up |
- BEST HD4U (Call for price 0784 496 856 )
>> Ina account ya mwaka mmoja ya ZAP CCcam [Server 2] inayofungua Channel za ZAP EutelSat 35.9E |Channel Line-up |
>> Server mbili tofauti zinakuhakikishia kuwa "ON Air" muda wote.
>> Utapewa BURE 3G HUAWEI MODEM
>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |
2. ALL IN ONE (Call for price 0784 496 856 ) { Mzigo umewasili Tayari Tarehe 16/12/2014 }![]()
A-ONE AONE HD GPRS DVB-S2 Satellite Receiver
>> one year free account for:
>> 36.0E Eutelsat 36B DSTV
>> 68.5E Intelsat 20 DSTV South Africa
>> 22.0W SES-4 Canalsat Afrique
>> Suppport cccam, newcam etc
>> Support IPTV
>> Call now for Price +255 784 496 856 and get ALL IN ONE as family XMAS & NEW YEAR GIFT
![]()
3. QSAT Q23G TSH 230'000 >> QSAT Q23G ni receiver ya mpeg 4 HD
>> Ina account ya mwaka mmoja AVATACAM HD - Eutelsat 36E |Channel Line-up |
>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |
>> Utapata IPTV zaidi 150 ikiwemo BEINSPORT 1 - 15
4. SPEED HD S1 TSH 230'000
![]()
>> Inakuja ikiwa na account ya canalsat 22w | Channel Line-up | ya mwaka mmoja bure
>> Waweza kuweka Account zingine uzipendazo kama avatacamhd, tv1 cccam au a1star cccam.
Bei ya Hizi Decorder:
![]()
1. QSAT Q23G @ TSH 230'000 Tu
2. SPEED HD S1 @ TSH 230'000 Tu
3. BEST HD 4U - Call for Price 0784 496 856
4. ALL IN ONE - Call for Price 0784 496 856
Jinsi ya Kupata DECORDER HIZI:
1. Pay & Pick on Spot - Kwa wakazi wa Dar Es Salaam na
2. Wale wa mikoani utatumiwa kwa njia ya basi na utalipia zaidi TSH 10'000 ya kusafirishia
Sifa za jumla ya hizi Mpeg4 Full HD (1080) Receivers
- Zinakuwezesha kufulahia channel zaidi ya channel 300 bure ikiwa hii ikiwa ni pamoja na Channel za Soka, Filamu, Documentary, Habari, Muziki, Filamu za Kihindi na bila kusahau channel za katuni kwa watoto.
- Weza unga internet kwa kutumia (1) 3G NERTWORK (2) LAN INTERNET (3) GPRS. (4) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]
- Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hizi.
- Zinakuwezesha kuangalia IPTV Channel, tv zaidi 150 katika ubora wa HD
- Kwa ufupi zinafungua full premium package za PayTv kama dstv, canalsat, beinsport, n.k - Kutegemeana na Account utakayoweka
BEI YA ACCOUNT - Kwa QSAT/ SPEED HD/ XMASTER
3 Month CCcam TSH 65'000
6 Month CCcam TSH 75'000
12 Month CCcam TSH 110'000
CCCAM ACCOUNT ZILIZOPO
A1STAR CCCAM
TV1 CCCAM
KILLER CCCAM
JE KUNA KITU HUJAELEWA USISITE KUWASILIANA NAMI
MAWASILIANO:
- Whatsapp # +255 784 496 856
- Call/sms # 0717 54 57 62 / 0784 496 856
HUDUMA NYENGINE
- Ingia hapa >>| https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-9.html
Kwa watumiaji wa cccam, wakati wowote ukipata tatizo
- Angalia internet connection kama ipo active/ inactive Bonyeza Menu >> Settings >> Ethernet Config >> Config >> Link /Shut Down
![]()
2. Anaglia status ya CCCam account je ipo Connected / Disconnected
![]()
KARIBU
Napata s1 na s9 only, what about the other channels s2,s3,s4,s5,s7? I do not get it. pls help me..