Mimi naona kama huu ni utapeli Mimi nimetuma 10,000 acha hiyo elfu nane yako kuna mtu huku anaitwa Muganda nimemtumia kwenye MPESA ananipa malogin name na password yote invalid kila nikimuuliza anasena ooh yeye mbona anaweza kuingia mimi siwezi na kilakitu nasettings ziko sawa kasema nitumie tu line ya Mdem ya Vodacom kasema kwa mwezi ni 10,000/=
Huyo jamaa unaemsema naona kama ana exist Zambia ingawa hapa ameblend names. Sasa sijui kama ana tofauti la kusema. Nimecheki hiyo list ya authorised resellers nikakuta kama ifuatavyo.
View attachment 123582
sasa aje hapa atuambie ni Mbongo au Mzambia. Location inaonesha yuko Zambia ila ukicheki namba zake za simu ni za bongo. Voda na Tigo.
Mwl.RCT PD haifanyikaz kabsa tokea jana tatizo ni nini mkuu? Hebu toa maelezo tujue kama permanent problem au vp.
Ukiona manyoya, ujue keshaliwa…. Tafakari.
Mh haya bana...
Mwl. Tunaomba alternative ya connection kwa watu wa mac, siku ya 3 sasa tuko gizani. This is very annoying na hatujui tatizo ni nini as hakuna majibu yanayojitosheleza.. All in all internet irudi bro… waiting..