Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

  • Je wewe una mac osx v10.6 or late?
  • Na Je unahitaji Unlimited internet?
  • Kama jibu ni ndio wasiliana nami ili kupata tunnel ya unlimited Internet sasa call/ sms 0768 92 48 41

Vp kuhusu ios
 
Daaa jamani mimi nimtumiaji wa mac tangu jana ninaenjoy sana hii huduma... Mwanzoni nilikuwa najua ni uongo na pengine kuna utapeli humu ila nimekubali kwa sasa nashusha vitu balaa.. Hakuna kikomo. Computer yangu sasa sijazi mamuvi tena ni kutumia za online tu... Bro mwl piga kazi... Wasio amini achana nao sisi tule raha...
 
Kwenye cm za ios bado... Kama kuna njia nyingine tupeane ujanja pls.... Iphone jamani du.. Hivi ntawezaje kuigawia cm yangu net ya laptop? Kila nikiipa wi-fi, haiji na intenet. Pls
 
Kwenye cm za ios bado... Kama kuna njia nyingine tupeane ujanja pls.... Iphone jamani du.. Hivi ntawezaje kuigawia cm yangu net ya laptop? Kila nikiipa wi-fi, haiji na intenet. Pls
Hapa kuna mambo mawili
  • Iphone kujitegemea kwa internet na
  • Iphone kuweza pewa internet toka kwenye Laptop yako ya mac
Mambo yote mawili soon nitakupa feedback.
Karibu
 
  • Wadau wa pd, kuwa free 24/7 kunitafuta kwa hitaji lako la vocha. Tumia namba hii 0768 924 841
View attachment 109649

  • Karibu
Mimi naona kama huu ni utapeli Mimi nimetuma 10,000 acha hiyo elfu nane yako kuna mtu huku anaitwa Muganda nimemtumia kwenye MPESA ananipa malogin name na password yote invalid kila nikimuuliza anasena ooh yeye mbona anaweza kuingia mimi siwezi na kilakitu nasettings ziko sawa kasema nitumie tu line ya Mdem ya Vodacom kasema kwa mwezi ni 10,000/=
 
  • Ni kweli PD Proxy wakati mwingine huwa inasumbua kutokana na hili tatizo la disconnection, hasa hasa unapokuwa unafanya downloads
  • Nilichojifunza: Rate ya disconnection nikubwa iwapo unatumia hizi modem zitumiazo dashboard, na hakuna disconnection pindi utumiapo hizi modem za WEB UI - mfano HUAWEI HILINK
​Ufumbuzi

  • Unistall modem software, fanya cleaneup kwa kutumia ccleaner, restart PC , Then reinstall hiyo modem software
  • Tumia modem za hilink
  • Au Hamia TunnelGuru - Iko very stable , no disconnection, hatakama utaiacha connected 24hrs
​
napata wapi modem a hilink na zinafananaje???? ila nimegundua tatizo la pd proxy kukata ni pale ambapo downdload speed inapofikia o/oo kb pd proxy inakata inakuwa haina mawasilioano,pia kama itawezeka kuzuia modem isifike 0.oo kb download hope itasaidia sana.?? na vipi speed ya tunnel guru ipo sawa na pd proxy?? sijawahi kutumia ila nahisi kama pd proxy ipo juu prove me wrong tafadhali
 
napata wapi modem a hilink na zinafananaje????
Zipo mlimani city
datacarde303.jpg
ila nimegundua tatizo la pd proxy kukata ni pale ambapo downdload speed inapofikia o/oo kb pd proxy inakata inakuwa haina mawasilioano,pia kama itawezeka kuzuia modem isifike 0.oo kb download hope itasaidia sana.??
Tumia software inaitwa reconnect, itapunguza rate ya disconnection
vipi speed ya tunnel guru ipo sawa na pd proxy?? sijawahi kutumia ila nahisi kama pd proxy ipo juu prove me wrong tafadhali
Nikipata muda nitafanya comparison ya speed kati ya TG na PD, Ila ni kweli PD speed yake ni kubwa ni sababu ya Data compression , Wakati kwa Guru hii feature sijaiona. Labda nitoe wito kwako ufanye majaribio ili kupata ukweli yupi zaidi

qjys.jpg
Karibu
 
Mimi naona kama huu ni utapeli Mimi nimetuma 10,000 acha hiyo elfu nane yako kuna mtu huku anaitwa Muganda nimemtumia kwenye MPESA ananipa malogin name na password yote invalid kila nikimuuliza anasena ooh yeye mbona anaweza kuingia mimi siwezi na kilakitu nasettings ziko sawa kasema nitumie tu line ya Mdem ya Vodacom kasema kwa mwezi ni 10,000/=
  • Pole kwa tatizo lilokupata, Ni kweli mtandaoni si kila mtu ni wa kumwamini.
  • Siku nyengine hakikisha unamtafuata official authorised reseller wa hizi VPN, Kupata list ya Resellers kwa Tanzania Ingia hapa: List of Authorized PD-Proxy Resellers
Kuhusu huduma yangu
  1. ​Huduma huwa kwanza malipo baadae
  2. Kwa kuwa huna imani tena na kumlipa mtu usiyemjua -Tufanye hivi
Nitakuunganisha na huduma mfano leo, na utatumia kwa masaa 24, lengo ikiwa ni wewe kujiridhisha, then baada ya masaa 24 kupita ndipo ufanye malipo kama utapenda kuendelea na huduma toka kwangu baada kuwa umejiridhisha kwamba kila kitu kipo sawa
​ 3. Ili kupata huduma nipigie 0768 92 48 41 Karibu
 
Sijaiona mkuu
Maelezo niliyokuwa nimetoa haya hapa
Mwl.RCT said:
Osaba said:
Kwenye computer ipi ni nzuri na yenye speed tunnel guru au vpn?
  • Kumbuka TunnelGuru ni vpn
  • Je ulimaanisha ipi nzuli kati ya TUNNELGURU VPN na PD PROXY VPN?
  • Kama ni ndio, nitatumia vigezo viwili
TORRENT SERVER - Kwa Pd proxy wakati mwingine hujitokeza hii msg "Server is Full" hivyo kushidwa kuunga internet kwa torrent server. Wakati kwa upande wa TunnelGuru hakuna hili tatizo

STABILITY - TunnelGuru VPN ipo stable zaidi ukilinganisha na PD Proxy VPN - Mfano ukiwa umekonnect PD na Guru kwenye internet kwa wakati mmoja, Baada ya muda mfano baada ya masaa mawili - utakuta PD proxy imeshakuwa disconnected wakati TunnelGuru hata kama utaiacha 24hrs huwa hakuna Disconnectio

Hivyo basi TunnelGuru ni nzuli zaidi ukilinganisha na PD
 
Kwa ios naona kama Tunnelbear iko powa. Ila speed sio sana ika afadhali maana hata video zinasonga kabisa.
 
Hii tunnelbear umetumia default setting chineke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom