Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,942
- 802
- Karibu ndugu
Vp kuhusu ios
- Karibu ndugu
[URL="http://mwlrct.blogspot.com"]TunnelGuru & PD Proxy Internet[/URL]
UPDATE {at 09:10Hr , 13 October}Vouchers za offer zimeisha.
Examples za location?i mean servers u can choose to connect with for vpn
hi hili jambo inaonekana ni zuri na huenda wengi tungependa kuwa nalo naamini kabisa watanzania wengi wanapenda sana kufuatilia mambo kupitia internet lakini nafikiri kuna tatizo la uelimishaji kwa sisi walio wageni kwenye hii pd proxy
- Tazama luninga za kimataifa pamoja na soka kupitia hii site.
Code:[URL="http://www.filmon.com/tv/"]Web TV | Free web tv | Free Live Television | Live Tv Channels | Video on demand for free | Best Social Tv | Free streaming tv channels | Battlecam |[/URL]
- Karibu
Nimejiunga na hiyo pd proxy, yani hakuna kitu, unaunganisha after 15 minutes inakata, ukiunganisha tena haiungi hadi kesho yake asubuh. Mambo ni yale yale. Speed ni ndogo hakuna mfano na kuna wakati inagoma hata kufungua mozilla. Nikijaribu kudownload, yani ni majanga majanga. Na sehemu niliyopo ni nzuri haina shida ya mtandao kabisa.
hi hili jambo inaonekana ni zuri na huenda wengi tungependa kuwa nalo naamini kabisa watanzania wengi wanapenda sana kufuatilia mambo kupitia internet lakini nafikiri kuna tatizo la uelimishaji kwa sisi walio wageni kwenye hii pd proxy
nimejaribu kusoma maelezo mengi humu lakini sikubahatika kuambulia chochote chakuwezakunisaidia vizuri zaidi ya kuingia kwenye web site yao nakudownload software yao ambayo pia katika maelezo yako umesema haitafanya kazi vizuri mi afikiri ungetoa maelezo vizuri inatumia mordem zetu kwasim card ip mimi binafsi nitakupigia simu kama uko free kunipa maelezo binafsi
Picha ya Kwanza
- Hapo kwenye red ungeomba maelekezo uelekezwe nini cha kufanya, Upatapo tatizo kama hilo, ni vyema kutafuta ufumbuzi wa tatizo na si kulikimbia tatizo.
- Hapo kwenye Blue wazungumzia speed. Angalia GB wanazodownload wenzako kwa speed unayoiita majanga
![]()
Picha ya Pili
![]()
Picha ya Tatu
![]()
- Ndugu Bulldog inatakiwa ukubali kwamba tatizo ni PC yako, Na uombe ushauri nini cha kufanya ili performnce ya internet iwe nzuli.
- Karibu kama unaswali kuhusiana na haya maelezo yangu.
nishagive up.
wewe weka link ya kudownload pd prox for win 8 64bit
Ni android bro naweza kupata hyo huduma.nambie ofs yako nije kwa maelezo zaidi[/QUOTofisi yake ndiyo humu humu ulimo mkuta au unataka ofisi ipi wewe kwa mfano..:confused2: