Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

Ili kupata ujumbe kuhusu unlimited internet fuata hatua zifuatazo
  • Download file unlimited internet .vbs toka hapa
    Code:
    https://www.dropbox.com/s/5bo337gdit3z12s/Unlimited%20Internet.vbs
  • Ongeza sauti ya spika katika PC yako
  • Kisha double click unlimited internet VBS, kusikia ujumbe

Karibu
 
Mimi nipo interested nayo tatizo mi ni tecno hama kichwani hamna kama vip nikielekezwa nitanunua.
 
kaka ww mkali sana maana sasa nimwendo wa kudownload movies na kuangalia TV tu thanx alot
 
Uko na huduma nzuri kwa wateja na unatoa ufafanuzi wa kutosha. Hongera Mwl
 
  • Je wewe una mac osx v10.6 or late?
  • Na Je unahitaji Unlimited internet?
  • Kama jibu ni ndio wasiliana nami ili kupata tunnel ya unlimited Internet sasa call/ sms 0768 92 48 41
 
nataka kuwa mteja wako
  • Karibu
  • Kuna tunnel Za aina tatu
    • Pd Proxy
    • Tunnel Guru, Na
    • TwinVPN
  • Bei ya voucher ni tsh 8,000 tu - itakuwezesha kupata unlimited internet mwezi mzima.
  • Piga hii namba 0768 92 48 41 nikuunganishe.
  • Process yote inachukua just dakika 5 tu.
 
ngoja nimalizie hizi cku 6 zilizobaki then official nahamia kwako mkuu
 
pd proxy inakatakata sana nini inaweza kuwa tatizo na nini naweza kufanya yaani kila baada ya dk tano inakata full kuboa
 
pd proxy inakatakata sana nini inaweza kuwa tatizo na nini naweza kufanya yaani kila baada ya dk tano inakata full kuboa
  • Ni kweli PD Proxy wakati mwingine huwa inasumbua kutokana na hili tatizo la disconnection, hasa hasa unapokuwa unafanya downloads
  • Nilichojifunza: Rate ya disconnection nikubwa iwapo unatumia hizi modem zitumiazo dashboard, na hakuna disconnection pindi utumiapo hizi modem za WEB UI - mfano HUAWEI HILINK
​Ufumbuzi

  • Unistall modem software, fanya cleaneup kwa kutumia ccleaner, restart PC , Then reinstall hiyo modem software
  • Tumia modem za hilink
  • Au Hamia TunnelGuru - Iko very stable , no disconnection, hatakama utaiacha connected 24hrs
​
gyqd.jpg
 
  • Karibu
  • Kuna tunnel Za aina tatu
    • Pd Proxy
    • Tunnel Guru, Na
    • TwinVPN
  • Bei ya voucher ni tsh 8,000 tu - itakuwezesha kupata unlimited internet mwezi mzima.
  • Piga hii namba 0768 92 48 41 nikuunganishe.
  • Process yote inachukua just dakika 5 tu.
ulishawahi kuniambia kuwa modem inayohitajika ni universal kwanini?wengine modem zetu ni za Zantel ambazo huweki hata line..
 
Ndugu Chrisludos ,nimekutumia PM angalia. Pia siyo lazima saana modem iwe universal
 
Last edited by a moderator:
Kaka mimi ni mtumiaji wa apple na nina iOS 10.9 mavericks, pia nina iphone 5, utanisaidiaje? Au inawezekana? Unaonekana mtaalam sana na uko njema katka hii technolojia! Pls naomba muongozo wako.
 
Kaka mimi ni mtumiaji wa apple na nina iOS 10.9 mavericks, pia nina iphone 5, utanisaidiaje? Au inawezekana? Unaonekana mtaalam sana na uko njema katka hii technolojia! Pls naomba muongozo wako.
  • Nimekutumia PM ya maelekezo
  • Karibu
 
Hata hivyo sielewi kwa nini vodacom huawei modem hadi muda huu haiconnect kabisa. Mwenye msaada tafadhali...
 
Back
Top Bottom