Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

TunnelGuru iko powa sana… back in business ila watu wa MAC na iphone mbona mnatutupa sana?

  • Subira yavuta heri. Tuendelee kuwasiliana
  • One day, Yes mac users will have the service
 
Mkuu mm pia ni mteja wenu ,naomba nipewe maelekezo kuhusu guru ya kwenye simu natumia huwei y300
 
nina pc aina ya dell na natumia modem. Napataje hayo makitu,hebu nielekeze taratibu kama mtoto wa nursery nielewe!!
Fuata hizi hatua:
  1. Download java hapa: TunnelGuru Java Runtime
  2. Download TGv2.6 hapa: Download : TunnelGuru Free Anonymous Web Proxy , HTTP Tunnel , VPN Tunnel , ICMP Tunnel , DNS Tunnel , HTTP Proxy Provider : TunnelGuru
  3. Pata user ID hapa: Registration: Free Anonymous Web Proxy , HTTP Tunnel , VPN Tunnel , ICMP Tunnel , DNS Tunnel , HTTP Proxy Provider : TunnelGuru
  4. Fanya malipo tsh elfu 8, Kisha nitumie kwa sms user ID uliyotengeneza hatua ya 3, [ Namba za Malipo Airtel Money 0784 496 856 au Mpesa 0768 924 841 ]
  5. Nitakupa settings na utaanza tumia huduma
Karibu
 
nimejaribu ku register ila ina fail kwenye username inaniambia lenght 3 to 10 naomba nifafanulie hiyo inakuwaje
 
nimejaribu ku register ila ina fail kwenye username inaniambia lenght 3 to 10 naomba nifafanulie hiyo inakuwaje
  • Weka user id yenye tarakimu/ herufi kati ya tatu hadi 10
  • Hivyo user id ni kama hii: g3m , na user id ndefu ni kama: solution14
  • Kama ni mimi user ID ningeweka hivi: solut10n , hiyo bold ni namba kumi.
  • Kama ukishidwa kabisa kufanya registration nitumie kwa sms email yako; Nitakufanyia registration na kufanya activation ya account yako kuwa PREMIUM
 
Offer ya X-Mas & Mwaka Mpya 2014:

  • Nunua Vocha za TunnelGuru/PD Proxy kwa tsh 6,500/- tu.
  • Upate UNLIMITED kwa siku 30 bure.
Nakutakia X-Mas njema. Mwisho wa offer hii ni Dec. 31 . KARIBU

8y86.png
 
Nataka vocha na maelekezo ya tunnel guru maana Mimi nimwasilika wa pdproxy
 
Daa nimebanwa na mambo fulani aisee nitakutafuta mwalimu.
 
  • Nipo online nipigie sasa tulonge 0784 496 856 au 0768 92 48 41
  • Karibu
Mwl nahitaji hii pd proxy tafadhali sana ukiweza nipa links hapa za kudownload nitashukuru sana na pia! Na pia number ya kutuma pesa nitashukuru!! Hayo tu
Na kati ya hizi tunnel gurru na pd proxy ipi bora moja wapo ndo ninayo hitajii ila isio na mmbo mengi maana nitachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom