Ndo ujuesasa goli la mkono aliepukiki.Mbona CDM haipo?
Chama cha Mbowe ndio kinajifia hivyo. Bila ruzuku, michango ya wabunge hata viti maalum mwenyekiti hata weza tafuna tena. Chama cha mfukoni, kwisha habari yake. Magufuli Babalao.Kifo hakikimbiwi,hata ukifurukuta vipi CCM itakufa tu
Imetoka hio baba la babaBado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kumbe unakiri tabia hizo za kipumbav mnazo?!Ndo ujuesasa goli la mkono aliepukiki.
Pesa za wafanyakazi, wapewe Haki yaoHahahahah
Hilo fao ndio liyaleta uhuru na haki na maendeleo. Taabu kweli